06/03/2026
FAHAMU UMUHIMU WA KIRUTUBISHO CHA COLLAGEN KATIKA MWILI WA BINADAMU*
Ni protini inayojenga mwili wa binadamu kwa asilimia kubwa sana.
Asilimia 30 ya Protein inayojenga mwili ni Collagen. Ngozi imetengenezwa kwa asilimia 70 collagen na Mifupa imetengenezwa kwa asilimia 80 collagen.
Kadri umri unavyo enda Binadamu tunapungukiwa collagen. Na Huanza Kupungua kuanzia Umri wa miaka 20 na Tafiti zina onesha kwamba Kila mwaka unapungukiwa asilimia 1 ya collagen mwilini.
Hivyo Unapofikisha miaka 50 utakuwa umepungukiwa Robo ya Collagen mwilini mwako. Yaani utakuwa umepungukiwa 25% ya Collagen. Na Ukifikisha miaka 75 utakuwa umepungukiwa asilimia 50 ya Collagen mwilini mwako.
Kumbuka : Collagen ni Gundi inayofanya kila kitu katika mwili wako vishik**ane vizuri.
DALILI ZA KUPUNGUKIWA COLLAGEN
1. Kujikunja kwa Ngozi
2. Ngozi kunyauka
3. Ngozi kuwa na madoa madoa Meupe
4. Magonjwa ya Mifupa na Jointi kusagika na kuuma
5. Magonjwa ya Mfumo wa Chakula (Gastritis na PUD)
6. Kucha na Nywele kukatika kwa wepesi
AINA ZA COLLAGEN
Kuna aina takribani 29 za collagen katika mwili wa binadamu. Ingawaje Collagen type 1,2 na 3 ndiyo zimechangia karibia asilimia 90 ya collagen zote mwilini.
Collagen Type 1 : Hii hutengeneza Mifupa, Kucha,Meno, nywele nk
Collagen type 2: Hii hutengeneza Sponji ambayo husaidia Jointi ifanye kazi vizuri. Hutengeneza Cartilage
Collagen type 3 : Hii hutengeneza Sponji ambayo husaidia kutengeneza mishipa ya damu na kuta za mfumo wa chakula.
Get Fine Collagen Inakupatia aina zote za Collagen hizo sambamba na hivyo utapata Vitamin C, Hyaluronic acid na Biotin kwa faida nyingi za ziada kiafya.
TSH 50000 TU. PIGA SIMU 0679622827
Tupo goba njia nne madale road