22/03/2022
Minyoo isipopatiwa dawa huweza kuishi hadi miaka 30 ndani ya utumbo.Minyoo aina ya Tegu hukua hadi kufikia futi 22 za urefu,minyoo hutumia chakula unachokula na huishi kwenye utumbo bila kuonesha dalili yoyote
Baadhi ya viashiria vichache vya uwepo wa minyoo ni kichefuchefu,kukosa hamu ya kula,maumivu ya tumbo,kupoteza uzito,kuharisha,allergy k**a vile kuwashwa,kuvimba na ikiingia kwenye ubongo husababisha kifafa
Minyoo huweza kuishi tumboni kimyakimya na kuzaliana na kukua mwisho ikajaa na kuziba utumbo, hii huwa ni dharura. Kulingana na mazingira yetu; inashauriwa kutumia dawa za minyoo walau kila baada ya miezi 3. Minyoo pia inaweza fanya mtu akapenda chumvi Sana; hawezi kula bila chumvi pembeni (salt cravings)
JIKINGE NA MINYOO:
1. Epuka kula Nyama ambayo haipikwa vizuri
2. Osha Mboga za majani na matunda vizuri
3. Epuka Tabia ya kula udongo hasa Kwa wanawake
4. Tumia choo na hakikisha unanawa kwani wanapotoka chooni husambaza minyoo
Kwa Maelezo Zaidi whatssap me 0768261957