Dr. Lokoz Hassan

Dr. Lokoz Hassan Habari, niite Dr. Lokoz Hassan mshauri na mtaalam wa magonjwa na mtoa tiba. k. NATOA HUDUMA YA USHAURI BURE KWA WENYE KUHITAJI KUULIZA JUU YA MATATIZO YA KIAFYA.

Natoa tiba za magonjwa k**a kisukari, presha, vimbe mbalimbali nje na ndani ya mwili, kupooza, mifupa na maungio, matatizo ya mfumo wa uzazi n. NIPIGIE SIMU AU TUMA UJUMBE KAWAIDA NA WHATSUP KWENDA +255762923998/+255682268101.

11/08/2022

*Naitwa Hashir-Kalynda sales consultant,*

Karibu kwenye kampuni ya biashara ambayo inalenga kusaidia kuinua maisha ya watanzania kwa kuwapa fursa ya kuwekeza mitaji tofauti tofauti kuanzia kima cha chini *20, 000* / na kupata malipo ya kila siku (commission). Kampuni hii pendwa ya *KALYNDA E_COMMERCE CO. LTD* imeahidi serikali ya Tanzania kuwa utatengeneza nchini ajira zaidi ya 10,000/=ili kupunguza mzigo wa utegemezi katika jamii.

Hivyo nakushauri ewe ndugu msomaji jisajili
https://www.kalynda-e-commerce.com/ #/register/index?code=314547166686
kupitia hiyo *LINK* ☝🏽☝🏽bure na uwekeze kiasi kuanzia *20, 000* / na kuendelea na uanze kuuepuka umasikini au utegemezi usio lazima.

Jinsi ya kujisajili ni rahisi kabisa na baada ya hapo nitakuelekeza jinsi ya kuingiza pesa (mtaji) wako kwenye mfumo au system ya kampuni, ni rahisi kabisa.

Watanzania sio kila kila kitu ni utapeli vingine ni mwokozi wa maisha YETU. *0682268101* Piga au tuma sms nitakusaidia kukamilisha taratibu zote.
Pia jiunge na Group letu la biashara ambalo utakutana na wawekezaji wengi wanaojiunga na wanaoingiza pesa kila siku👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://chat.whatsapp.com/IdP71pLqvyr0TdUjM9metK

*KILA MTU ANA HAKI YA KUFANIKIWA KIMAISHA*

23/07/2022
*ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI NA KWANINI UTUMIE DETOX*Mawasiliano................1. Matatizo ya ...
14/07/2022

*ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI NA KWANINI UTUMIE DETOX*
Mawasiliano................

1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. Kuwa na uzito wa kupindukia
3. Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. Kichwa kuuma kila mara
6. Kupata miwasho
7. Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
8. Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. Tumbo kujaa gesi nk

MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
Detox ndio suluhisho
Zipo kwenye OFA sasa

Mawasiliano

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??  👇👇Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuat...
14/07/2022

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?? 👇👇
Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba inaitwa YUZHI IKIAMBATANA NA FEMICARE kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu eneo, U.T.I nk. Hello karibu nikuhudumie
Maelezo na tiba wasiliana nasi

MAWASILIANO NAMI KWA

Nipigie kwa ushauri na matumizi ya bidhaa hii nzuri
14/07/2022

Nipigie kwa ushauri na matumizi ya bidhaa hii nzuri

Wasiliana nami kwa tiba na ushauri
14/07/2022

Wasiliana nami kwa tiba na ushauri

Wasiliana nami kwa namba 0682268101
12/07/2022

Wasiliana nami kwa namba 0682268101

Wasiliana nami kwa namba 0762923998
08/07/2022

Wasiliana nami kwa namba 0762923998

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA SULUHISHO LAKE* *FIBROID NI NINI?*                Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kw...
04/07/2022

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA SULUHISHO LAKE*

*FIBROID NI NINI?*
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

*Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:*
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)

*Watu wafuatao wako hatarini kupatwa na ugonjwa huu fibroids*
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.

*Dalili za fibroids*
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpangilio
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi

*Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo*

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza
mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye mfiko wa mayai yaani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

*MATIBABU*
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hahawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu Wanabainika wanapofanyiwa ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu
hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
2.Uvimbe ambao ni mkubwa(k**a inavyoonekana kwenye picha hapo) wenyewe
hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawezi kumdu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu k**a
tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo
operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.
1.Myomectomy hii ni operation ya
kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila
kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii
operation unaondoa kizazi chote k**a uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.

Hebu jiulize kwa nini mpaka upate
dalili ndo uanze kushughulikia au kutafuta Matibabu ? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo? Au kwa nini ukae na uvimbe kisa bado mdogo?
tambua uvimbe huu sio kansa hvyo
ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.

*UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.*

Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa
ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo
imefanyiwa research.

Hii dawa inaondoa uvimbe bila UPASUAJI na bila madhara k**a donazol. K**a una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo
na mshilikishe kuokoa afya yake.

📞Kwa MAWASILIANO zaid njoo inbox
0762923998

*DALILI ZA HATARI KWA MWANAMKE ZINAZO MFANYA ASIPATE MIMBA.*🙆Ukavu ukeni🙆Maumivu wakati wa tendo la ndoa🙆Kutoa jasho usi...
04/07/2022

*DALILI ZA HATARI KWA MWANAMKE ZINAZO MFANYA ASIPATE MIMBA.*

🙆Ukavu ukeni
🙆Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🙆Kutoa jasho usiku
🙆Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
🙆Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
🙆Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
🙆Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
🙆Uchovu wa mara kwa mara
🙆Hasira za mara kwa mara
🙆Kukosa usingizi
🙆Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
🙆Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
🙆Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
🙆Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
🙆Maumivu ya viungo
🙆Upungufu wa nywele kichwani.
🙆Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
🙆Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
🙆Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
🙆Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
🙆Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
🙆Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
🙆Maumivu ya kichwa mara kwa mara
🙆Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
🙆Kutokupata choo kwa wakati
🙆Misuli kudondoka

MADHARA YA DALILI HIZO

🤔Kutokushika ujauzito Kwa muda mrefu
🤔Mimba kuhalibika mala kwa mala
🤔 Maumivu wakati wa tendon
🤔UTI kujirudia
🤔Kuziba Kwa mirija ya uzazi

Wasiliana nasi Kwa tiba na ushauli Kwa number 0762923998

Address

Dodoma Mjini
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Lokoz Hassan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Lokoz Hassan:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category