19/01/2026
Watu wengi wanapitia changamoto ya kiakili,Kwa sababu wanakosa pakusemea,
Wanaona Jamii itawachukuliaje...
Wanapitia changamoto za kiafya,kimahusiano,kindoa,kielimu,kiuchumi n.k
Lakini hapana pakusemea maana kila mtu anapambana kujionesha kuwa Yuko Sawa wakati anaumwa na Jamii imewafunza hivo...
Mwisho wa siku watu hawa wanakufa ndani Kwa ndani na mwisho wake wanamalizikia nnje...
Basi ukikumbwa na matatizo haya tafuta wapi pakusemea ili umpate Masada sahihi na wakitaalamu...
Kutana nami Nurse and Midwife Priscar
Nitakusaidia kiroho,na kiakili utakaa Sawa.
Wasiliana nami
Wasap 0742318469.
Barikiwa.