Afya Bora Kwa Maendeleo Yako

Afya Bora Kwa Maendeleo Yako tunasaidia changamoto za viungo na mifupa,miguu kuwaka moto n.k

Dr Clement na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.📞 0657896985Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa...
30/11/2023

Dr Clement na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.
📞 0657896985
Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 0657896985

Usikubal kuendelea kuteseka, matibabu ya viungo na mifupa bila upasuajiii yanawezekana kabisa
29/11/2023

Usikubal kuendelea kuteseka, matibabu ya viungo na mifupa bila upasuajiii yanawezekana kabisa

Kwa tiba na ushauri wa  matatizo ya viungo na mifupa wasiliana nasiii kupitia simu no 0657896985
29/11/2023

Kwa tiba na ushauri wa matatizo ya viungo na mifupa wasiliana nasiii kupitia simu no 0657896985

Address

Dodoma

Telephone

+255622793153

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora Kwa Maendeleo Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Bora Kwa Maendeleo Yako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram