24/02/2023
TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO YA MIFUPA.
Watu wengi wenye umri wa miaka 30 na kuendelea hupata matatizo ya maungio ya mifupa. Hii husababishwa na jinsi tunavyoishi,
▪️ kutopata lishe bora,
▪️ kufanya mazoezi bila kuzingatia namna ya kulinda maungio,
▪️ kufanya kazi nzito,
▪️ kuwa na uzito mkubwa wa mwili,
▪️mwilli kupoteza uwezo wake wa kutengeneza ute kwenye maungio ambayo inatokana na umri na sababu zingine za kiafya.
Hii hupelekea kuwa na maumivu makali mpaka kushindwa kutembea au kusogeza baadhi ya viungo.
Inawezekana hata wewe umeshaanza kuzisikia athari za haya matatizo ila wengi hua wanagundua kwa kuchelewa sana sababu hatuna desturi ya kukagua afya zetu mara kwa mara. Ila pia inawezekana kuna mtu unamfahamu ambaye tayari ameanza kupata athari zake.
Usikae kimya suluhisho lipo,Tuna tiba asili kabisa na maalumu kwa ajili ya kuondoa maumivu ya viungo na mifupa, kuzuia kulika kwa mifupa na viungo.
1.Huongeza ute ute kwenye maungio.
2.Huondoa changamoto ya Arthritis.
3.Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya.
4.Huondoa maumivu ya magoti, nyonga na mgongo.
5.Husaidia mifupa kuwa imara pamoja na vidonda kupona haraka.
6.Huongeza Glucose Amine na Chrondroitin kwenye maungio.
Tiba hii ni izuri kwa wenye umri mkubwa na wenye matatizo ya Mifupa na viungo, Kwa wale wanaofanya mazoezi ya viungo hii tiba inawafaa sana kuwasaidia viungo kukaa sawa na kutopata matatizo yoyote..
Tupo mikoa yote nchini na gharama za dozi inategemea na changamoto uliyonayo hvyo basi kupata suluhisho na namna ya matibabu kwa changamoto yako...
Wasiliana nasi kwa namba.
+255 767010319