AFYA YA UZAZI

AFYA YA UZAZI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YA UZAZI, Medical and health, Dodoma.

NASAIDIA WANAWAKE NA WANAUME WENYE YA CHANGAMOTO YA UZAZI

✅Tunatatua kuanzia chanzo cha tatizo kwa kutumia bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kumaliza tatizo kabisa

✅Piga simu kwa ushauri na matibabu ya changamoto za uzazi
0652893499

K**a una mzunguko wa hedhi siku 35 tumia hii chati kupanga uzazi na kuacha kutumia uzazi wa mpango
03/05/2026

K**a una mzunguko wa hedhi siku 35 tumia hii chati kupanga uzazi na kuacha kutumia uzazi wa mpango

Uume kusimama kwa ulegevu (yaani hauwi mgumu vya kutosha au unapoteza nguvu haraka) kunaweza kusababishwa na mambo mbali...
30/04/2026

Uume kusimama kwa ulegevu (yaani hauwi mgumu vya kutosha au unapoteza nguvu haraka) kunaweza kusababishwa na mambo mbalimbali—ya mwili au ya kisaikolojia. Hapa chini ni sababu kuu:

🔹 Sababu za mwili
1. Mzunguko hafifu wa damu. damu haifiki vizuri kwenye uume (inaweza kutokana na presha, kisukari, au mafuta mengi mwilini)

2. Kisukari (Diabetes). huharibu mishipa ya damu na neva.

3. Matatizo ya homoni. hasa kupungua kwa
testosterone
499
4. Uzito kupita kiasi. Uvutaji sigara au pombe kupita kiasi

5. Madhara ya dawa baadhi ya dawa za presha au msongo wa mawazo

🔹 Sababu za kisaikolojia

1. Msongo wa mawazo (stress).Wasiwasi au hofu ya kufanya tendo
2. Kukosa kujiamini
3. Migogoro ya kimahusiano

🔹 Sababu nyingine
1. Uchovu mkubwa
2. Kutofanya mazoezi
3. Matumizi ya p**n kupita kiasi (huathiri msisimko wa kawaida)

Call 0652893499 kwa suluhisho la kudumu

🚺 JE, UNAPATA HARUFU MBAYA UKENI K**A SHOMBO LA SAMAKI? 🤔⚠️ Hii SI hali ya kawaida! Inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya...
29/04/2026

🚺 JE, UNAPATA HARUFU MBAYA UKENI K**A SHOMBO LA SAMAKI? 🤔

⚠️ Hii SI hali ya kawaida! Inaweza kuwa dalili ya maambukizi yanayohitaji matibabu mapema.

❗ SABABU KUU NI:
✔️ Bakteria wasio na uwiano (BV)
✔️ Maambukizi ya zinaa
✔️ Usafi usio sahihi wa uke
✔️ Matumizi ya sabuni kali au kemikali
✔️ Mabadiliko ya homoni

💡 DALILI ZA KUANGALIA: 🔸 Harufu kali ya samaki
🔸 Ute mweupe, kijivu au njano
🔸 Kuwasha au muwasho
🔸 Maumivu wakati wa kukojoa au tendo la ndoa

✅ JINSI YA KUJIKINGA:
✔️ Osha sehemu za siri kwa maji safi tu
✔️ Epuka kuosha uke kwa ndani (douching)
✔️ Vaa chupi za pamba
✔️ Badilisha pedi/chupi mara kwa mara
✔️ Epuka kujitibu bila ushauri wa daktari

🚨 USIPUUZE!
Harufu mbaya inaweza kuashiria tatizo kubwa zaidi kiafya.

📞 Wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaidi:
📱 0652893499 (Call & WhatsApp)

💬 Afya yako ni kipaumbele chako!

AfyaYaMwanamke



29/04/2026

K**a unapitia shida yoyote kwenye mfumo wa uzazi ambayo nimeitaje kwenye maelezo yangu ya hii video hakikisha unatumia hii package sasa kuimalisha afya ya via vya uzazi ili uweze kuwa na uzazi salama.

Wanawake wengi uzazi imekuwa changamoto sasa
1. kushindwa kushika mimba
2. kubeba mimba tunatoka
3. Maambukizi ya PID
4. Shida ya homoni kutokuwa sawa
5. Uvimbe kwenye kizazi ama kwenye mayai

package hii ni suluhisho lako la kudumu , inapatikana kokote ulipo duniani . kwa uhitaji tuwasiliane kwa namba
0744470059 uweze kuipata kwa Whatsapp namba iko kwenye video

🇨🇦 🇺🇸 🇸🇦 🇹🇿

29/04/2026

K**a unasumbuliwa na changamoto yoyote kati ya hizi nilizozitaja hakikisha unatumia hii bidhaa ili kuweza kumaliza hiyo changamoto kabisa

call / Whatsapp 0652893499

29/04/2026

Tumia FEMICARE k**a unahitaji kumaliza changamoto za ukeni na kuweka uke wako safi na salama . inapatikana kokote ulipo 50,000/= tu

Call/ Whatsapp 0652893499

Hivi ndio vyakula bora kwa mama mjamzito kwa ujenzi wa afya bora ya mama na mtoto . Jali afya yako imarisha afya ya mtot...
25/04/2026

Hivi ndio vyakula bora kwa mama mjamzito kwa ujenzi wa afya bora ya mama na mtoto . Jali afya yako imarisha afya ya mtoto wako

Haya ndio madhara ya simdanomza uzazi wa mpango k**a ulikuwa hujui . K**a umeshatumia sana uzazi wa mpango umekuletea sh...
25/04/2026

Haya ndio madhara ya simdanomza uzazi wa mpango k**a ulikuwa hujui .

K**a umeshatumia sana uzazi wa mpango umekuletea shida kwenye uzazi tuwasiliane kurekebisha mfumo mzima sasa

Call / whatsapp 0652893499

24/04/2026

Una kila sababu ya kuitwa mama , una kila sababu ya kuongeza mtoto mwingine , shida ni mfumo wa uzazi tu . Tuwasiliane sasa utimize furaha yako

23/04/2026

Kuanzia sasa acha kutumia p2 kuzuia kupata mimba inavuruga mfumo wa uzazi

22/04/2026

Kwenda kukojoa baada ya tendo la ndoa ni tabia nzuri kiafya, hasa kwa wanawake. Hizi ndizo faida zake kuu:
1. Kupunguza hatari ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
Wakati wa tendo, bakteria wanaweza kusogea karibu na njia ya mkojo. Kukojoa husaidia “kuwasukuma nje” kabla hawajasababisha maambukizi.

2. Kusafisha njia ya mkojo
Mkojo husaidia kuondoa uchafu au vijidudu vilivyoingia wakati wa tendo, hivyo kuweka njia ya mkojo katika hali safi.

3. Kupunguza muwasho au discomfort
Baadhi ya watu hupata muwasho kidogo baada ya tendo. Kukojoa kunaweza kusaidia kupunguza hali hii kwa kusafisha eneo husika.

4. Ni rahisi na njia ya kinga ya asili
Huhitaji dawa yoyote—ni hatua ndogo tu lakini yenye msaada mkubwa kwa afya ya uzazi.

👉 Muhimu kujua:
1. Hii haizuii mimba wala magonjwa ya zinaa (STIs).
2. Ni njia ya kusaidia tu usafi na kinga dhidi ya maambukizi ya mkojo.

K**a unapata dalili k**a maumivu wakati wa kukojoa, mkojo wenye harufu kali, au kuwaka moto, inaweza kuwa ishara ya maambukizi—ni vyema kumwona daktari mapema.

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00
Sunday 07:00 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA YA UZAZI:

Share