26/02/2023
IMARISHA AFYA YAKO YA UZAZI NA ππππ
FOREVER MULTI - MACA
Ni Kirutubisho kilichoandaliwa kwa kusaga mizizi ya mmea wa MACA unaopatikana Nchini PERU.
Nchini Peru wanatumia hiyo mizizi kuchanganya kwenye Chakula, Mboga au Maji ili kuboresha na kuimalisha afya ya Uzazi kwa Wanaume na Wanawake.
FAIDA YA MULTI MACA
1. Hurekebisha homorne kwa watu wenye Homorne Imbalance.
2. Huzibua Uchafu kwenye mirija ya uzazi na kuimalisha afya ya mfumo wa uzazi na Kibofu.
3. Husaidia uzalishaji, kuboresha na kuongeza idadi ya Mbegu kwa wanaume wenye tatizo la Low S***m Count.
4. Husaidia Kupevusha Mayai, Kupunguza maumivu wakati wa hedhi na madhara ya kukoma kwa hedhi kwa wanawake.
5. Huimarisha afya ya Tezi na kuzuia kutanuka kwa Tezi au Saratani ya Tezi Dume.
6. Huzuia Ukuaji wa Vimbe kwenye Kizazi au Fangasi sehemu za siri.
7. Huondoa na kuzuia mtu kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa.
8. Huimarisha afya ya mzunguko wa damu, huupa mwili nguvu na stamina kwa muda mrefu.
9. Husaidia mwili kuweka mahusiano mazuri kati ya Ubongo na Sense ya mwili kuchochea hisia za kijinsia
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi ...
Tuma neno AFYA JAMIIII Kwenda whatsapp namba +255682989554 au piga simu usaidiwe mapema