19/10/2022
: Baadhi ya wanaume huwa na hamu na hisia Kali za kufanya mapenzi lakini pindi wanapokutana na mwanamke ni sekunde chache hamu na hamasi ya kufanya mapenzi zinaisha kabisa,
hamu ya kuendelea inakata kabisa.Hali hii hutokea baada ya kufika kileleni mara moja tu.
Hali hiyo ukikukuta jaribu kufanya vitu vifuatavyo👇👇👇
(1)Badilisha muongozo wako wa lishe .Wengi tunakula vyakula vya wanga na sukari.Yan ni utamaduni umejengeka tayari tunauishi .Unajikuta mwaka mzima unazunguka kwenye kundi moja la vyakula ambavyo ni vyakula vya wanga na sukari.
Badilisha vyakula vyako kwenda kwenye vyakula vya protini na matunda.
(2)Epuka kutazama video za ngono. Saivi teknolojia imekuwa sana kila mtu anamiliki smart phone (simu janja).Hivyo kuangalia na kupata habari ni rahisi sana.Hizi video na picha za ngono ni rahisi kuzitazama kwa gharama kidogo sana hii inapelekea wengi kuathirika na utazamaji wa video hizo ,wanawake kwa waume.Hili janga kubwa .Epuka kutazama hizi video nguvu zako zitarudi.
(3)Acha kujichua.punyeto. Wengi wamepiga punyeto pasipo kujua madhara yake ,pale wanapopata hamu za mapenzi huji chua au kujichezea sehemu zao za siri wenyewe mpaka hamu zinakata.Sasa mtu anakuwa kwa Tabia hiyo toka abalehe mpaka anaolewa au anaoa anajichua .Hii hupelekea kukosa hamu na nguvu za kiume zinapungua.
Wengi wanahangaika hospitalini wanapimwa lakini vipimo vinaonyesha kuwa uko sawa ,yani huna tatizo lolote .Lakini ukienda kushiliki tendo la ndoa tatizo liko pale pale .
Ulipiga punyeto ulijichua ndio chanzo cha tatizo lako .Madaktari wengi wanashindwa kubaini chanzo hiki ,mara nyingi wao watakupima sukari,presha,nk.
Hivyo kaa chini utafakari historia ya maisha yako ya nyuma ,itakupa majibu ya tatizo lako.
Msaada wa tiba 0768261957