01/05/2020
*JE MACHO YAKO YANA MATATIZO*
*JUA MAMBO MUHIMU KUHUSU AFYA YA MACHO*
Huduma ya haraka piga 0718 230 762
Tatizo la kutokuwa na uwezo wa kuona vizuri vitu vilivyo mbali au karibu, ni changamoto ya uonaji inayowasumbua watu wengi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.
Changamoto hii hutambulika kwa mtu kushindwa kuona vizuri. Watu hawa wanapoangalia mbali hushindwa kutambua taswira zilizo mbali, na pia Kuna wengine wakiangalia karibu hushindwa kutambua taswira zilizo karibu.
Tatizo la kutokuwa na uwezo wa kutoona vitu vilivyo mbali au vilivyo karibu hutokea pale ambapo sehemu ya jicho inayoruhusu mwanga wenye taswira kuingia ndani ya jicho, yaani cornea either kwa kuathirika na ugonjwa au kukosa virutubisho muhimu vya macho inashindwa kuelekeza mwanga wenye taswira kutua kwenye eneo la nyuma la jicho linalohusika na kusafirisha kile kinachoonekana kwa ajili ya kutafsiriwa kwenye ubongo.
Hali hizi mbili husababisha mwanga wenye taswira unaoingia kwenye jicho kutoweza kufikia eneo la nyuma ya jicho yaani retina.
Hii husababisha retina kushindwa kupeleka taarifa zenye taswira kwenye ubongo na matokeo yake hushindwa kutafsiri taswira ambayo mtu anajaribu kuitazama. Matokeo yake ni wewe kushindwa kutambua unatazama nini.
Watu ambao kwenye familia kuna historia ya tatizo hili ndio wako hatarini kukumbwa na hali hii. K**a mzazi mmoja au wote wawili wana tatizo hili (na wanavaa miwani) basi kuna uwezekano wa karibu asilimia 95 kwa mmoja wa watoto kuwa na tatizo hilo pia.
Wengine ni watu wanaotumia muda mwingi sana kujisomea na wale wanaokosa muda wa kutoka nje na kupata fursa ya kuangalia vitu mara kwa mara.
Kundi lingine ni wale wanao kula Lishe Duni , Maisha sasa hivi yamekuwa ya kisasa sana vyakula vingi tunavyokula havitoshelezi mahitaji ya mwili kwa mfano Afya ya macho inahitaji vitamin A,E , C na B,B6 jiulize je! umekula lini vyakula vinavyoweza kukupa Lishe hizi kwa pamoja ? Adui wa Afya yako ni wewe mwenyewe
*HIZI NI DALILI ZA MATATIZO YA MACHO*
*kushindw