Ivy Healthcare

Ivy Healthcare Tunasaidia Changamoto zote za afya kwa akina mama na watoto pia.

08/04/2026

🚀 Tunakuja karibu na wewe!
Event zetu zinatembea mikoa tofauti — usikose nafasi ya kujifunza, kuungana na kufanikiwa! 💼✨

Call 0757 039 439
Kupata ticket yako

05/04/2026

Heri ya Pasaka! 🌸
Tunawashukuru sana kwa kuwa sehemu ya familia yetu ya biashara. Endeleeni kufurahia huduma zetu—tunawapenda na kuwathamini sana.

01/04/2026

✨ Ngozi yako inastahili kung’aa! ✨
Collagen ni siri ya ngozi laini, yenye mvuto na inayong’aa kila siku 😍
✔️ Hupunguza mikunjo na mistari ya uzee
✔️ Hufanya ngozi iwe tight na fresh
✔️ Huongeza urembo wa asili
Anza leo uone tofauti ndani ya muda mfupi 💯
Uzuri huanzia ndani! 🌸

📩 NiPM upate yako sasa
Call 0757039439

BeautyFromWithin AntiAging NgoziLaini HealthySkin DarBeauty WanawakeTZ BiasharaMtandaoni SkincareRoutine GlowUp ForeverLivingTZ

24/03/2026

🚨 UMESHAJUA HII? 🚨
Watu wengi wanahangaika na afya na ngozi bila kujua suluhisho sahihi…
Nimekufanyia kazi yote! 💚
Ndani ya video hii nimeelezea bidhaa zote unazohitaji – kwa ufupi na uelewa mzuri kabisa
✨ Afya bora
✨ Ngozi yenye kung’aa
✨ Nguvu kila siku
Usiache kupita hivi hivi!
▶️ Tazama video hadi mwisho
📩 Niandikie sasa nikusaidie kuchagua kinachokufaa

OFa ipo kwa muda mfupi! ⏳
Call 0757 039439

23/03/2026

Watoto wanastahili kilicho bora 💛
Afya njema inaanza mapema!

Wasiliana nami 0757 039439

10/03/2026

Self care sio anasa, ni lazima. 💚
Kila siku naanza na Forever Aloe Vera Gel ili kuutunza mwili wangu kutoka ndani.
Afya njema inaanza na maamuzi madogo ya kila siku.
👉 K**a unataka kujaribu pia, niambie nikusaidie kuanza.”
Call 0757 039439

08/03/2026

Wanawake wenzangu, huu ndio wakati wa kubadilisha maisha yako! ✨
Jiunge nasi ujifunze jinsi ya kufanya biashara inayokupa afya bora na kipato cha ziada.

Usikose session hii ya kipekee ya wanawake wajasiriamali itakayokuonyesha njia halisi ya kuanza biashara hata k**a unaanza kutoka sifuri.
📅 12 March 2026
⏰ Saa 2:00 usiku (08:00 PM)
📍 Via Zoom

Comment "INTERESTED" au nitumie message nikutumie link ya kujiunga.

Call 0757 039439

07/03/2026

Leo nimeanza Challenge ya Siku 5 ya kunywa Aloe Vera Gel 🌿
Kila siku chupa 1 kwa ajili ya kusafisha mwili, kuboresha afya ya tumbo na kuongeza nguvu za mwili.
Nimeamua nisifanye peke yangu…
Natafuta watu wachache watakaojiunga nami kwenye hii challenge ili tuone mabadiliko pamoja ndani ya siku 5.
Ukihitaji:
✅ Kusafisha tumbo
✅ Kuongeza kinga ya mwili
✅ Kujisikia mwepesi na mwenye nguvu
Karibu ujiunge nami kwenye challenge hii.
📩 Niandikie neno GEL nikujulishe jinsi ya kuanza leo.

— Dorice Katetegwa
Call 0757 039439

07/03/2026

Tunaweza kuongea pia zaidi na kuplan jinsi ambayo unaweza wewe kufanya ili kuanza kwa urahisi kwako . Ila KUWA MEMBER , kwa matumizi yako mwenyewe , is the best thing na utasave hela nyingi sana wakati unaenjoy bidhaa ORGANIC na SALAMA za kiafya kwa ajili yako na familia yako so KARIBU 🙌🙌🙌

DM ‘FOREVER’ then we take it from there ❤️ .

Call 0757 039439

06/03/2026

Nilianza nilipokuwa na mashaka, lakini leo nina ushuhuda halisi wa mabadiliko makubwa maishani mwangu! 🔥
Hii ni ushuhuda wa kweli: fursa hii inabadilisha maisha, kipato, na hufungua milango ya maendeleo.
💼✨ Sasa ni zamu yako! Usisubiri… hatua moja tu inaweza kuleta tofauti kubwa.

✅ DM sasa au click link kwenye bio kujiunga na fursa hii.
Hii ni nafasi kwa wale wanaotaka matokeo halisi!

Call 0757 039439

ActNow”

06/03/2026

Unasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, choo kigumu, uchovu au kinga ya mwili kushuka?
Suluhisho lipo hapa 👇

🌿 Aloe Vera Gel – husafisha na kurekebisha mfumo wa mmeng’enyo
🌿 Aloe Pro-B – huongeza bakteria rafiki tumboni
🌿 Aloe Pro-B - K**a unasumbuliwa na (H. pylori) itakusaidia sana.
🌿 Field of Greens – hukupa virutubisho vya mboga na nguvu mwilini
Hii ni package bora ya kusafisha tumbo, kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza nguvu.
🔥 Watu wengi tayari wanatumia na wanaona matokeo.

📩 Niandikie sasa nikusaidie kuanza matumizi yako leo.
Usikose nafasi ya kuboresha afya yako.

Call 0757 039439

05/03/2026

1. Kukosa pesa si tatizo lenyewe, bali ni dalili ya hali ya mawazo na maisha ya ndani.

2. Ili kubadilisha maisha ya nje (matokeo) lazima kwanza ubadilishe mawazo na mtazamo wa ndani.

3. Maisha yetu ya nje ni kioo cha kile kilichopo ndani yetu.

4. Matamko chanya (declarations) ni kauli unazosema kwa sauti ili kujenga mawazo mazuri na kuleta mabadiliko.

5. Kauli hizi zina nguvu kwa sababu maneno na mawazo hubeba nishati inayoweza kuathiri mwili na matokeo ya maisha.

✅ Ujumbe mkuu:
Badilisha mawazo yako ya ndani, tumia kauli chanya, na matokeo ya maisha yako yataanza kubadilika.

Kwa elimu zaidi ya Fursa
Call 0747 039439

🔥🔥🔥

Address

Dodoma
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ivy Healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram