18/08/2015
LEO TUTAONGELEA UGONJWA WA BAWASIRI KWA LUGHA YA KIINGEREZA UGONJWA HUU UNAITWA HEMORRHOIDS
Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
AINA ZA BAWASIRI
NJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.
Je bawasiri husababishwa na nini?
BAWASIRI HUSABABISHWA NA NINI?
Bawasiri husababishwa na;
Tatizo sugu la kuharisha
Kupata kinyesi kigumu
Ujauzito
Uzito kupita kiasi (obesity)
Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (a**l s*x)
Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
Umri mkubwa
DALILI ZA BAWASIRI
Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
Maumivu au usumbufu
Kinyesi kuvuja
Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa
MATATIZO YANAYOWEZA KUTOKEA KUTOKANA NA BAWASIRI
Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
Strangulated hemorrhoids
VIPIMO NA UCHUNGUZI
Digital re**al examination
Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)
MATIBABU
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
Coagulation (infrared, laser and bipolar)
Upasuaji;
Hemorrhoidectomy
Stapled hemorrhoidopexy
NJIA ZA KUZUIA BAWASIRI
High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
Dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako ya Bawasiri nina

Dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako ya Bawasiri tuma ujumbe kwenye page hii ntakusaidia