Tumaini Herbalist Clinic.

  • Home
  • Tumaini Herbalist Clinic.

Tumaini Herbalist Clinic. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tumaini Herbalist Clinic., Medical and health, Dodona, .

Tumaini hebalist clinic ni Taasisi ya tiba lishe na tiba mbadal inayo patikana mikoa ifuatayo Kama Dodoma,Njombe,Kigoma na Dsm
Pia tunatibu magonjwa takiribani yote yakawaida na magonjwa sugu karibuni

kwa ushauri na Tiba 0767006004,0716684165

Kigoma 0767007004... ...Mpendwa Afya Ni mtaji usikubali kuteseka na magojwa sugu   Tunajali Afya yako..Tuna virutubisho ...
23/06/2021

Kigoma 0767007004... ...
Mpendwa Afya Ni mtaji usikubali kuteseka na magojwa sugu Tunajali Afya yako..Tuna virutubisho Tiba kwa magonjwa K**a Kisukari,presha,U.T.I, Tatizo la hedhi,Vidonda vya Tumbo,Hernia,Tezi dume,mimba kuharibika,Bawasili,maumivu ya mgongo na Kiuno,shida ya upumuaji,pumu,Na dalili nyingi za hatari kiafya K**a vile miguu Kuvimba,kusaka moto,Na mengine mengi Tupo Dodoma mjini,Njombe pia Kigoma mjini 0767006004.

Karibu Tukuhudumie  .Tunatoa ushauri K**a unachangamoto yoyote Kiafya,,,Ikumbukwe Tunatibu magonjwa yote sugu na yakawai...
02/06/2021

Karibu Tukuhudumie .Tunatoa ushauri K**a unachangamoto yoyote Kiafya,,,Ikumbukwe Tunatibu magonjwa yote sugu na yakawaida plz usisite kutupigia #0767006004; , , 🙏🙏 iliyo Bora zaidi.

 .Tangawizi huondoa maumivu mbalimbali mwilini. Huua kimeng'enya ambacho Ni chakula Cha seli za kansa ya Tezi Dume Kiitw...
27/05/2021

.
Tangawizi huondoa maumivu mbalimbali mwilini. Huua kimeng'enya ambacho Ni chakula Cha seli za kansa ya Tezi Dume Kiitwacho '5-Lo enzymes'
Tangawizi in kiini lishe mhimu ambacho kuzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho "Gingerol". Huzuia kuzaliana kwa Bakteria ya "Helicobacter Pyrori" ambaye husababisha vidonda vya tumbo . Tunatoa ushauri na Tiba kwa magonjwa yote sugu na yakawaida call #0767006004. Dodoma,Njombe na Kigoma.

Call 0767006004
13/05/2021

Call 0767006004

Tunatoa ushauri wa changamoto ya Afya yako kwa kutumia Tiba lishe🌿 karibu 0767006004.  .
04/05/2021

Tunatoa ushauri wa changamoto ya Afya yako kwa kutumia Tiba lishe🌿 karibu 0767006004. .

Usiteseke Tumain Herbalist clinic tuko na wewe popote ulipo Dodoma,Njombe,Kigoma Tupigie 0767006004. Kwa ushauri na Tiba...
24/04/2021

Usiteseke Tumain Herbalist clinic tuko na wewe popote ulipo Dodoma,Njombe,Kigoma Tupigie 0767006004. Kwa ushauri na Tiba vipimo vipo.🌻

MADHARA YA UTUMIAJI WA   (POSTINOR-2) KIHOLELA WATAJWA KILETA MADHARA YAFUATAYO.._Kuharibika kwa mzunguko wa hedhi._Kiha...
05/02/2021

MADHARA YA UTUMIAJI WA (POSTINOR-2) KIHOLELA WATAJWA KILETA MADHARA YAFUATAYO..

_Kuharibika kwa mzunguko wa hedhi.
_Kiharusi (Strock).
_Saratani ya matiti.
-Magonjwa ya moyo.
_Ugumba (Infertility)
_Kuharibika kwa mimba (Missicarage)
Na mengine mengi zaidi usisumbuke na Tatizo lolote kiafya jaribu kuwasiliana nasi kwa 0767006004...
Tunapatikana Dodoma,Njombe na Kigoma.

UWEPO WA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME:       Mpendwa msomaji wa makala hii chukua hatua dhidi ya uwepo wa MADAWA mb...
09/12/2020

UWEPO WA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME:

Mpendwa msomaji wa makala hii chukua hatua dhidi ya uwepo wa MADAWA mbalimbali mitandaoni hasa za kuongeza nguvu za kiume.
Kuna Mambo mengi mno yanayo changia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hivo huna budi ya kufanya uchunguzi dhidi ya tatizo lako kabila ya kununua Dawa na kuanza kutumia dawa hizo:
Sababu hizo zinazo pelekea tatizo la wanaume wengi kusumbuliwa na ukosefu wa kuongeza nguvu za kiume ni K**a.
(1) MAGONJWA Magonjwa yapo mengi mno ambayo huchangia wanaume kuanza kusumbuliwa na Tatizo Hilo ikiwa Ni
Kisukari, pressure,Magonjwa ya Zina,Tezi Dume, Hearnia,Vidonda vya Tumbo, no.
(2) MSONGO WA MAWAZO, msongo wa mawazo Ni moja ya vitu vinavyo pelekea uzalishaji wa homon ya Testistrelon kuwa chini mno hivo mwanaume kuweza kukosa uwezo was kihomili kushiriki tendo la ndoa .
(3) Lishe Duni.
(4) Umri mkubwa.
(5) Kujichua kwa mda mlefu yani upigaji punyeto.
(6) Ufanyaji kazi ngumu Sana kwa mda mlefu.
Na mengine mengi .

Kwa ushauri zaidi siyo vema kusnza kutumia dawa kabla ya kuchunguza na kubaini chanzo Cha tatizo Karibu kwa ushauri,Uchunguzi wa kitabibu na Tiba.
Call us 0767006004 Tupo Dodoma,Njombe,Dsm na Kigoma.

  Ni mafuta Bora Sana kwa._ kukuza nywele._ kulainisha nywele._ kuondoa umba kivhwani._ Kuondoa ukurutu kichwan._ Na noP...
06/12/2020

Ni mafuta Bora Sana kwa.
_ kukuza nywele.
_ kulainisha nywele.
_ kuondoa umba kivhwani.
_ Kuondoa ukurutu kichwan.
_ Na no
Pig 0767006004.

  Bora na suruhisho ya magonjwa mbalimbali wasiliana na   kwa 0767006004..tupo Dodoma,Njombe na Kigoma  ,,,,Tunatibu mag...
22/11/2020

Bora na suruhisho ya magonjwa mbalimbali wasiliana na kwa 0767006004..tupo Dodoma,Njombe na Kigoma ,,,,Tunatibu magojwa yote sugu K**a Tatizo la uzazi,vidonda vya tumbo,U.T.I,miguu kuuma, kipanda uso,presha,kisukari,Typhoid, na dalili nyingi za hatari kiafya,,,karibu kwa vipimo na Tiba ulipo tupo

Usikubali kuteseka Tumaini Herbalist Clinic ni suruhisho la Tatizo lako,,,Ifahamike kuwa Tunatibu magonjwa karibia yote....
24/10/2020

Usikubali kuteseka Tumaini Herbalist Clinic ni suruhisho la Tatizo lako,,,Ifahamike kuwa Tunatibu magonjwa karibia yote...Tunapatikana Dodoma,Jombe,Kigoma na Dsm. Kwa ushauri zaidi tupigie 0767006004/0716684165

UJUE UGONJWA WA ENDOMETRIOSIS' NA DALILI ZAKE.Kwanza kabisa kabula hatujaangazia tatizo la indometriosis yatupasa kujua ...
25/01/2018

UJUE UGONJWA WA ENDOMETRIOSIS' NA DALILI ZAKE.

Kwanza kabisa kabula hatujaangazia tatizo la indometriosis yatupasa kujua ''ENDOMETRIUM"
Endometrium ni Ukuta Wa ndani Wa kifuko cha uzazi..na ukuta huu hujengeka na kubomoka kila mwezi na kusababusha Hedhi kwa mwanamke.
Kujengeka na kubomoka kwa ukuta huu Endometrium ndani ya kifuko cha uzazi husabsbishwa na Mabadiliko ya kiasi cha horomoni za uzazi mwilini.

Ni ugonjwa unao sababishwa na uwepo wa tishu zinazo fanana na ukuta wa ndani ya wa mfuko wa uzazi Endometrium kujengeka sehemu nyingine kwenye mwili k**a
_ Karibu na ovar
_ Kwenye kifuko cha uzazi
_ kwenye njia ya haja kubwa.
_ Kwenye kibofu cha mkojo.
_ Tumbon.

Tishu hizi hujengeka na kubomoka kula mwezi k**a ilivyo endometrium kutokana na mzunguko wa mwezi na kutengenza hedhi.

SABABU YA UWEPO WA ENDOMETRIOSIS.
Kwa ufupi hakuna sababu ambayo ishabainika kuwa kinasababisha tatizo la indometriosis bali Inaaminika kuwa kiasi kidogo cha damu kinacho ingia tumboni wakati wa hedhi kupitia mirija ya uzazi (fillopian tube) hubeba seli ya Endometrium ambazo huota sehemu mbalimbali za mwili

DALILI ZA UWEPO WA ENDOMETRIOSIS .

_ Maumivu makali ya tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa hedhi.
_ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
_Kutapika damu au kuharisha damu wakati Wa hedhi.
_Maumivu ya kiuno na mgongo.
_Kuhisi uwepo Wa ujauzito wakati hana mimba.
_Kushindwa kushika ujauzito
_ kutokwa na Damu nyingi kupita kiasi wakati wa hedhi.

MADHARA YA ENDOMETRIOSIS.
_Kupatwa na uvimbe kwenye mji wa uzazi.
_ mimba kuharibika marakwa mara
_Inaweza ikawa chanzo cha salatani ya kizazi
_Inareta madhara makubwa ya figo na Mapafu

Endetriosis inatibika vizuri na kupona endopo ikiwahiwa mapema
Tunazo dawa bora za matatizo mbalimbali ya Afya ya uzazi kwa wakina mama
Tupo .
0767006004
By Dr Elias Fanuel

Address

Dodona

Telephone

+255753081794

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumaini Herbalist Clinic. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tumaini Herbalist Clinic.:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram