Unique massage and sauna

  • Home
  • Unique massage and sauna

Unique massage and sauna Unique Spa
Beauty,Cosmetic & personal care
Enjoy the best spa service at our place
We provide office & mobile service
Hotline☎️ 0743976892

Karibu Unique Massage ujipatie huduma bora yakupunguza stress na maumivu ya mwili.Huduma Tunazotoa-Relaxation Massage-De...
14/03/2026

Karibu Unique Massage ujipatie huduma bora ya

kupunguza stress na maumivu ya mwili.

Huduma Tunazotoa

-Relaxation Massage

-Deep Tissue

-Sports Massage

-Back Pain Relief




Karibuni ofisini kwetu ujipatie huduma Bora za scrub na uboreshe afya ya ngozi yako, pia tunatoa punguza katika kila hud...
14/03/2026

Karibuni ofisini kwetu ujipatie huduma Bora za scrub na uboreshe afya ya ngozi yako, pia tunatoa punguza katika kila huduma zetu kipindi hiki Cha kwaresma na Ramadhan

TUNAPATIKANA Dodoma, Swaswa -mnarani





Waxing ni njia ya kuondoa nywele kwenye mwili kwa kutumia nta maalum (wax). Nta inapakwa juu ya ngozi yenye nywele, kish...
11/03/2026

Waxing ni njia ya kuondoa nywele kwenye mwili kwa kutumia nta maalum (wax). Nta inapakwa juu ya ngozi yenye nywele, kisha hutolewa kwa haraka ili kung’oa nywele kutoka kwenye mizizi yake.




11/03/2026

Unique Massage tunatoa:
-Relaxation Massage
-Deep Tissue Massage
-Sports Massage
-Back Pain Relief Uko tayari kuanza safari ya afya?





Faida zinazohusishwa na sauna 1. Kupumzisha misuli na kupunguza stress2. Kuboresha mzunguko wa damu3. Kusaidia detox kup...
08/03/2026

Faida zinazohusishwa na sauna
1. Kupumzisha misuli na kupunguza stress

2. Kuboresha mzunguko wa damu

3. Kusaidia detox kupitia jasho

4.Kupunguza maumivu ya misuli baada

KARIBU UNIQUE MASSAGE TUNATOA HUDUMA BORA YA SAUNA PAMOJA NA MASSAGE

Sauna ni chumba maalum kinachotumika kwa joto la juu (heat therapy) ili kusaidia mwili kupumzika na kutoa jasho. Kwa kaw...
08/03/2026

Sauna ni chumba maalum kinachotumika kwa joto la juu (heat therapy) ili kusaidia mwili kupumzika na kutoa jasho. Kwa kawaida joto lake huwa kati ya 70°C hadi 100°C. Sauna mara nyingi hupatikana kwenye gym, spa, au maeneo ya mapumziko.

KARIBU UNIQUE MASSAGE TUNATOA HUDUMA BORA YA SAUNA PAMOJA
NA MASSAGE

08/03/2026

Karibu Unique Massage ujipatie huduma bora ya

kupunguza stress na maumivu ya mwili.

Huduma Tunazotoa

-Relaxation Massage

-Deep Tissue

-Sports Massage

-Back Pain Relief





KARIBU UNIQUE MASSAGE AND SAUNA Kwa huduma Bora za massage pia tunawahudumu wenye uzoefu mzuri. kupunguza stress na maum...
05/03/2026

KARIBU UNIQUE MASSAGE AND SAUNA
Kwa huduma Bora za massage pia tunawahudumu wenye uzoefu mzuri.

kupunguza stress na maumivu ya mwili.

Huduma Tunazotoa

-Relaxation Massage

-Deep Tissue

-Sports Massage

-Back Pain Relief

Massage ina manufaa kadhaa ya kiafya na kisaikolojia kwa sababu inafanya kazi moja kwa moja kwenye misuli, mfumo wa damu...
05/03/2026

Massage ina manufaa kadhaa ya kiafya na kisaikolojia kwa sababu inafanya kazi moja kwa moja kwenye misuli, mfumo wa damu, na mfumo wa neva. Tafiti katika taaluma ya tiba ya mwili na afya ya kazi zinaonyesha kuwa massage hutumika k**a mbinu ya kusaidia matibabu (complementary therapy).

KARIBU UNIQUE MASSAGE TUKUHUDUME TUKOWAZI MASAA 24HRS

05/03/2026

Karibu Unique Massage ujipatie huduma bora ya

kupunguza stress na maumivu ya mwili.

Huduma Tunazotoa

-Relaxation Massage

-Deep Tissue

-Sports Massage

-Back Pain Relief

TUNAPATIKANA SWASWA MNARANI




Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Unique massage and sauna posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram