28/03/2022
SULUHISHO LA BAWASIR(MGOLO) HEMORHOIDS.,BILA UPASUAJI,
0753112746
KWANZA UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,
# # # *TIBA NA KINGA YA BAWASIRI YA UHAKIKA* *(NOVEL DE PILE)*🤞🤞
NOVEL DE PILE NI BIDHAA YA ASILI INAYOSAIDIA KUPONYESHA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWNYMISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
,,HIVYO BAWASIRI INAPOTEA KABISAAAAA,,,
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
Piga. 0753112746
kupata huduma kwa haraka
HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA TFDA,HALAL,GMP NK...
Tazama elimu zaidi na ushuhuda na elimu juu ya bawasir/mgolo.