18/11/2025
TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!
Habari njema wakazi wote wa Wilaya ya Wanging'ombe na maeneo jirani!
Uongozi wa Hospital ya Kilutheli llembula unawakaribisha kupata huduma maalum kutoka kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani, atakayetoa uchunguzi, ushauri na matibabu kwa magonjwa mbalimbali, huduma zitatolewa kila siku ya jumatano kuanzia wiki hii Mahali: Hospital ya Kilutheli ilembula
Huduma zitakazo tolewa ni ikiwemo matibabu ya:
Kisukari
Shinikizo la damu
Magonjwa ya moyo
Magonjwa ya figo
Magonjwa ya mapafu (Asthma, COPD n.k.)
Magonjwa ya tumbo na utumbo
Magonjwa ya ini
Magonjwa ya darnu (mf. Anemia)
Magonjwa ya tezi (Thyroid)
Maumivu ya mwili yasiyoisha
Mzio (Allergies)
Maambukizi sugu na matatizo ya kimetaboliki
Na mengine mengi
Gharama:
Kufungua faili: Tsh 10,000
Vipimo no dowo: Zitatolewa kwa gharama nafuu (bel ya punguzo)
Usikiapo/Uonapo Tangazo hili, Mtaarifu na mwingine.
Karibuni Hospital ya Kilutheli llembula - Tuko kwa ajili ya afya yako!