Afya asilia

Afya asilia Makala ya afya kwa wanaume

Mwanaume! Soma Hii K**a Unataka Kupona Haraka Tatizo La Jogoo KULALA mapema.Wahenga hawa ni WATU ambao kwa nchi tuna asw...
08/04/2025

Mwanaume! Soma Hii K**a Unataka Kupona Haraka Tatizo La Jogoo KULALA mapema.

Wahenga hawa ni WATU ambao kwa nchi tuna aswa kuwaheshimu sana, wao walisema "haba na hujaza kibaba"

Lakini wazungu wao sijui wao wazee wa zamani wanawaitaje....wao walisema "A journey of miles start with a single STEP..."

Leo nakupa njia moja ya kuanza kuponya tatizo lako la JOGOO kulala mapema...tumia tangawizi

Kwanini TANGAWIZI, kwa sababu tangawizi inaenda kulainisha mafuta yote yaliyoganda kwenye damu hivyo......mishipa inakuwa na nafasi kubwa ya kupitisha DAMU

Kumbuka.
Damu nyingi ndio kitu kinahitajika kwenye uume kwa kiasi kikubwa hivyo JOGOO atarudi kwenye ubora

Matumizi

Kutafuna ndio nzuri zaidi lakini uchungu ndio changamoto unaweza kukata...kwa brenda ukachemsha bado upo sahihi

Lakini...
P.S
K**a una changamoto ya kuwahi kupiga punyeto TIBA yako ipo hapa

https://rebrand.ly/p7hs9dj

Cheers!
Uwe na ASUBUHI njema

Tabia 10 mbaya zitakazoenda kuua figo zako!(Zimethibitishwa na dokta mwenye taaluma ya professor)⚡.Mwaka 2023 watu zaidi...
19/03/2025

Tabia 10 mbaya zitakazoenda kuua figo zako!
(Zimethibitishwa na dokta mwenye taaluma ya professor)

⚡.Mwaka 2023 watu zaidi ya 40,000 walihudhuria tiba ya magonjwa mbalimbali lakini yote chanzo chake ilikuwa FIGO....📌

Hii ilikuwa ni hospitali ya taifa ya MHIMBILI, sasa hapo hatujatafuta taarifa za hospitali nyingine za rufaa.

👂.Mbaya zaidi asilimia 50 walikuwa ni watu wenye umri chini ya miaka 50🎅

Leo nakupa TABIA kumi(10) mbaya zitakazoenda kuua figo zako...

💙.Kutokunywa MAJI ya kutosha
Hii ni tabia mbaya kwa maisha ya figo, jeshini wanalijua hili usipokunywa maji adhabu unatembea na kopo la maji, maji yataenda kusaidia figo kupambana na kuondoa sumu mwilini..

Note!
Kwa siku unatakiwa unywe LITA tatu za maji, je mwenzangu hata lita moja tu leo umekunywa?

2.Matumizi makubwa ya chumvi...
Chumvi ni mhimu lakini chumvi isizidi, ikizidi itaenda kuzuia maji yasitoke nje ya mwili ambayo yataenda kukusababishia shinikizo la DAMU. Hata mashine tu haikai na maji yanatumika yanatolewa chumvi ikizidi inaenda kuzuia maji kutoka

🚬.Uvutaji wa sigara
Uvutaji wa sigara unaenda kuathiri mishipa ya damu, ambayo inapeleka damu mpaka kwenye figo, hivyo na figo linaenda kuathirika.

4.Unywaji wa pombe kupitiliza
Pombe haizuiliwi lakini isipitilize Prof Janabi anashauri matumizi haya,
Kwa wine tumia glass 01
Wanaume bia 02 kwa siku
Wanawake bia 01 kwa siku
Note!
Bia 01 unainywa kwa saa moja

5.Matumizi holela ya dawa
Huwa nakushauri hizi dawa za maumivu ni nzuri LAKINI hazifai kutumika mara kwa mara, zinaenda kuulazimisha mwili ukae sawa....huku sio sahihi zinaenda kulitesa sana figo tumia lakini kistarabu

Somo litaendelea....!

18/03/2025
Tunaendelea! Zile njia 16 zilizothibitishwa kisayansi zinazoondoa sumu mwilini.Note!K**a hujasoma post za nyuma urudi tu...
16/03/2025

Tunaendelea! Zile njia 16 zilizothibitishwa kisayansi zinazoondoa sumu mwilini.

Note!
K**a hujasoma post za nyuma urudi tunaendelea na ya 09.
...Ongeza matumizi ya vitu hivi kwa wingi mwilini
Vitunguu swaumu, mbegu za maboga, na mlonge(k**a hupendezwi na harufu ya kitunguu swaumu meza punje zake na maji)

10.Acha kutumia vilevi
Vitu k**a pombe🍻🍻, madawa ya kulevya, sigara🚬🚬vinaingiza sumu mwilini kwa hiyo ukiwa unatumia vitu hivi unakuwa unafanya kazi ya kutoa sumu na kuingiza

11.Tumia mtindi
Mtindi una bacteria wazuri ambao wakiingia mwilini kuna vitu wanaenda kusafisha....

12.Epuka maeneo hatarishi/jikinge maeneo hatarishi
Maeneo k**a VIWANDA hivyo vya kujiepusha sana na k**a unafanya kazi huko hakikisha unajikinga!

Tutamalizia!

Tunaendelea ✍️Epuka vilivyokobolewa...Kwa mf mahindi ukikoboa unaondoa virutubisho mhimu hivyo haifai kukoboa6.Tumia zai...
15/03/2025

Tunaendelea ✍️

Epuka vilivyokobolewa...

Kwa mf mahindi ukikoboa unaondoa virutubisho mhimu hivyo haifai kukoboa

6.Tumia zaidi dawa za asili🦠
Ukiugua na unafahamu mbadala wa dawa za asili, usitumie dawa za hospital, tumia za asili zitakusaidia saana kutibia tatizo lako lakini pia kuondoa Sumu mwilini!

7.Pata usingizi wa kutosha😴
Ndio, usingizi unaenda kupoza mwili na heka heka za siku mzima. Hivyo hakikisha unapanga ratiba vizuri muda wa kulala ulale!

8.Fanya tendo la ndoa💕
Kisayansi tendo la ndoa linahusishwa na kutoa homoni za furaha Kwa wingi sana. Hivyo wewe k**a mwanandoa tumia hii nafasi kwani furaha ni dawa Kwa magonjwa ya afya ya akili!

Kunywa maji💦 somo linaendelea mpaka zifike 16

Zimethibitishwa Kisayansi, Njia 15 Za Kuondoa Sumu Mwilini!(Kutozijua hizi utaendelea kuteseka na maradhi siku zote)Hizi...
14/03/2025

Zimethibitishwa Kisayansi, Njia 15 Za Kuondoa Sumu Mwilini!

(Kutozijua hizi utaendelea kuteseka na maradhi siku zote)

Hizi apa:

1.Kula Vyakula vyenye nyuzi nyuzi k**a parachichi🥑, viazi vitamu🍠, karoti, tufaa, ndizi, peasi n.k hii itaenda kuondoa Sumu mwili

Note!
Lakini pia hivyo Vyakula vikiingia mwilini huwa vinaenda kuzalisha homoni za furaha dopamaini (dopamine). Kwa hiyo utaondoa sumu....na furaha unapata

2.Fanya mazoezi ya viungo angalau anza na Kwa wiki mara 03
Unachopaswa kujua ...unapotoa jasho kuna vimelea wabaya pia hutolewa na jasho.

3.Kunywa maji💦 mengi Kila siku, angalau kuanzia glasi 08+
Hii itaenda kulipa raha ini lako, ambalo ndio ingini ya kupambana na sumu mwili Kwa hiyo likiwa linasaidiwa na maji linafanya KAZI...Kwa amani zaidi

4.Kula Vyakula vya asili zaidi
Jitahidi ule Vyakula asili hii itakusaidia mwilini kwenda kuondoa Sumu Mwilini Kwa sababu, Vyakula!

Tumia huu mchanganyiko "mwanaume" utanishukuru hata sio gharama✍️
13/03/2025

Tumia huu mchanganyiko "mwanaume" utanishukuru hata sio gharama✍️

Sayansi Yathibitisha Ukiachana Na Mipango Ya Mungu!(Namna ya kupata mtoto wa KIUME au mtoto wa K**E)💦.Kitu cha kwanza mn...
12/03/2025

Sayansi Yathibitisha Ukiachana Na Mipango Ya Mungu!

(Namna ya kupata mtoto wa KIUME au mtoto wa K**E)

💦.Kitu cha kwanza mnapaswa mjue mzunguko wa hedhi ni siku ngapi yaani kutoka hedhi ya mwezi huu mpaka mwezi mwingine ni siku ngapi k**a ni siku 28, 21 au 35.

👣.Baada ya kujua mzunguko unatafuta siku ya kupata mimba.

Note!
Nilishaifundisha hii njia, k**a ulipitwa niandikie kwenye comment hapo chini nitakufundisha.

Baada ya kutafuta hio siku hatari ukiipata k**a ni 14 utatoa na 2 halafu tena hio hio 14 utajumlisha na 1

Utapata 12 na 15

Ukizipanga Kwa mpangilio utapata 12,13,14 na 15 hizo ndio siku zako za hatari

Ukitaka upate mtoto wa KIUME unafanya tendo siku ya 14 maana Y Zina spidi zitawahi kufika mapema zitazitangulia X

Ukitaka upate mtoto wa K**E utafanya tendo siku ya 12 maana X Zina spidi ndogo ila zinaishi muda mrefu hivyo zitasubiria mpaka siku ya 14 yai la k**e litakapoachiwa

PS
K**a hujaelewa unapenda nikifundishe wewe mwenyewe peke yako...niandikie DM au kwenye comment nitakufundisha kutumia Whatsapp na VIDEO nitakutumia!

Sayansi ilishathibitisha muda mrefu sana(Usipojua hili utaendelea kulaumu mwanamke wako!)👣. Kwanza Ili mtoto azaliwe ana...
11/03/2025

Sayansi ilishathibitisha muda mrefu sana

(Usipojua hili utaendelea kulaumu mwanamke wako!)

👣. Kwanza Ili mtoto azaliwe anahitaji muungano wa mbegu MBILI ya baba na ya mama

Mama⚡
Mama anazalisha mbegu MBILI tu na zote ni za aina moja zinaitwa X X

Baba
Anazalisha mbegu MBILI ambazo ni tofauti X Y

Ili mtoto wa KIUME zaliwe zinahitajika mbegu MBILI ziungane Kwa mama X na Kwa baba Y hapo anazaliwa mtoto wa KIUME

Ili mtoto wa K**E azaliwe zinahitajika mbegu MBILI pia ziungane mama k**a kawaida X na baba akitoa X hapo anapatikana mtoto wa k**e

Kwa hiyo mwamuzi wa jinsia ya mtoto ni BABA sio MAMA Kwa hiyo wanaume tuache.....kulaumu Wanawake!

Ingawa kuna namna wanandoa mnaweza kutengeneza mazingira ya kuamua JINSIA ipi ya mtoto mnataka mzae

POST inayofuata nitaelezea vigezo vyake

Chukua TAHADHARI mpox ipo😭!

K**a hujajua namna ya kupambana NAO nimeshaelezea POST za nyuma✍️!

Hivi ni sahihi?Ni Sahihi mwanamke kulaumiwa na mume wake Kwa kuzaa watoto wa K**E tu?Niandikie kwenye comment hapo chini...
11/03/2025

Hivi ni sahihi?

Ni Sahihi mwanamke kulaumiwa na mume wake Kwa kuzaa watoto wa K**E tu?

Niandikie kwenye comment hapo chini

✍️.Na Mimi nitakuja na majibu

MPOX tuendelee kusubiri au tuchukue tahadhari!👣.1958 huko nchi ya Denmark waligundua huu ugonjwa, kutoka Kwa nyani🐒Baada...
10/03/2025

MPOX tuendelee kusubiri au tuchukue tahadhari!

👣.1958 huko nchi ya Denmark waligundua huu ugonjwa, kutoka Kwa nyani🐒

Baada ya hapo Kwa Africa mgonjwa wa kwanza kugundulika ilikuwa 1970 huko demokrasia ya kongo....!

Kufika mwaka 1980 nchi nyingi duniani ziliripoti kuwa na ugonjwa huu Kwa watu wake

Baada ya muda kupita ukapoa kesi nyingi zikapungua lakini kufika 2022 ukalipuka Tena 😭

Nchi baadhi ziliathiriwa ukapotea Tena

Leo nchini Tanzania wagonjwa wawili wameripotiwa kuwa nao😭!

Hivi ni virusi ambavyo chanzo chake ni hao nyani!

Je, tuchukue tahadhari Gani dhidi ya ugonjwa huu

1.Kwanza tuepushe migusano na mtu aliyeathirika na huu ugonjwa

2.Lakini pia tujiepushe na kushare vitu k**a nguo za muathiriwa wa huu ugonjwa!

Kwaninii?

Tunapaswa tuchukue hizo tahadhari Kwa sababu ndio njia zinazoeneza!

TIBA

💉.Hakuna tiba maalumu zaidi ya kutibiwa kulinganana dalili zinavyoonekana kwako!

Note!
Huu ugonjwa uliitwa MPOX Kwa lengo la kuondoa ubaguzi Kwa nyani😂, kwani mwanzo uliitwa monkey pox

Uwe salaama!

TIBA ya PID🩺👣.Kwanza kabla kujua TIBA ya PID, watu wengi hawaponi PID Kwa sababu Kwanza wanatibiwa na watu wasio wataala...
10/03/2025

TIBA ya PID🩺

👣.Kwanza kabla kujua TIBA ya PID, watu wengi hawaponi PID Kwa sababu Kwanza wanatibiwa na watu wasio wataalam pili wanaenda hospital au zahati zenye vifaa tiba vidogo....

Ambavyo haviwezi kupima na kutoa majibu Sahihi

💦.Hivyo kabla ya kutibia hili tatizo kwanza tafuta mtaalam wa hili suala.....pili nenda hospital kubwa zenye vifaa tiba vya uhakika kabisa.

Kwanza✍️
Kifaa Cha kupimia hii PID kinaitwa Pelvic Ultrasound utapimwa watajua ukubwa wa tatizo lako unapewa tiba sahihi.

Nadhani tumeelewana Kwa ufupi hili suala la PID

Address

Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya asilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya asilia:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram