11/01/2022
HORMONE IMBALANCE(Vichochezi vya mwili kutokua sawa).
::::::;Hii ni hali ya mwili ambapo vichochezi(hormone)vinavyo sababisha matokeo mbali mbali katika mwili hasa vichocheo vya uzazi,kutokua sawa mwilini,hivo kudababisha shughuli mbali mbali za mwili kuenfeshwa katika hali isiyokua wa kawaida.
:::::::;Hali hii huweza kusababishwa na matumizi ya ovyo ya madawa mbali mbali ya hospitali,ulaji mbaya wa vyakula mbali mbali,na matumizi ya baadhj ya vitu vyenye kemikali nyingi,kama vile mafuta ya kupakaa,vyakula vya kusindikwa n.k.
::::::::;Madhara ya hali hii katika mfumo wa uzazi ni mengi mnoo,kama ifuatavyo.
1)Kutokwa na damu nyingi kupitiliza wakati wa hedhi.
2)Kua na mpangilio mbovu wa hedhi,tarehe kubadilika badilika
3)Mirija ya uzazi kuziba au kujifunga funga
4)Uke kuwa mkavu.
5)Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
6)Kuhisi na kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.
7)Hivyo kupeleke UGUMBA.
:::::::;Tatizo hili linatibika kwa kutumia virutubisho lishe ambavyo huondoa tatizo jili kabisaaaaa,,
:::::::;TUMIA FEMICARE ndo mkombozi wako.Pia pata ushauri wa kiafya bureeeee kabisa.