03/07/2025
Karibu Tosamaganga Institute of Health and Allied Sciences!
Ndoto yako ya kuwa mtaalamu wa afya inaanza hapa! 🩺
Jiunge na taasisi inayotoa elimu bora kwa vitendo na inayotengeneza wataalamu mahiri wa kesho.
✅ Kozi zenye fursa nyingi
✅ Mazingira rafiki ya kujifunzia
📞 0762031524 / 0620301524