26/11/2025
Chuma kikabisha, kikamwambia Reece James huku sitaki kukuona, huyo Ferran Torres na Robert Lewandowski wote niachie mimi, hakuna mahali wataenda....we nenda kacheze huko kwingine huku sitaki kukuona.....kazi chafu zote akazisafisha, akawachukua kila alioletewa akawaweka kwenye kibubu, mwanetu ni mwamba sana, chuma kinasumbuliwa na majeruhi tu ya kulogezewa, ila kikiwa kamili hakuna kiumbe kinakatisha kule juu!