01/12/2025
HONGERA KUINGIA MWEZI WA 12
_Mungu akujalie mwisho mwema wa mwaka huu na akupatie kuingia mwaka mpya2026._
Unahitaji neema ya Mungu kutoka katika kiwango kidogo cha maisha na kuwa na kiwango kizuri cha maisha.
Uandae mwaka mpya, tumia mwezi huu wa 12 kuweka malengo na mipango ya mwaka ujao. Fanya ibada zitakazo badilisha maisha yako kwa mwaka mpya 2026.
Yachukie maisha ya umaskini na yatake maisha ya utajiri.
Prophet Rogers
Ministry