26/05/2014
CHUO CHA AMANI COLLEGE KILICHOPO IRINGA KINAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA K**A IFUATAVYO
1.Uandishi wa habari
2.Nursing course mwaka 1 kwa ngazi ya cheti na Diploma miaka 2
3.Tourism management cheti 1
4.ICT
5.Elimu ya biashara cheti 1 Dip 2.
6.ACCOUNTANCY
Pia tunafundisha masomo ya sekondari kwa wale wanaotaka kurist mitihani, sifa za mwombaji awe na Ufaulu usiopungua daraja la IV Alama 38 Kwa wahitimu wa mwaka (2013) Na wahitimu wa Mwaka 2004-2012 Awe na Ufaulu usiopungua daraja la IV alama 32, fomu zinapatikana kwa gharama ya sh. 10,000/= Tu unatakiwa kulipia fomu kwa njia ya Airtel money simu namba 0787524420 Au M-PESA simu 0757673648 na mara baada ya kufanya Malipo Tuma majina yako MATATU mahala unapoishi anuani ya mzazi/mlezi kuja namba hii 0787524420 uongozi wa chuo utakutumia fomu ya kuthibitisha kujiunga na chuo, Mwisho wa kutoa fomu ni tarehe 15/06/2014 Na chuo kitafunguliwa tarehe 02/07/2014 kwa mawasiliano piga 0787524420 au www.amanicollege.com
Ada zetu ni nafuu.