Said kilele

Said kilele Music Distributor & Social Media Manager Alikiba Blood Fans

Karibu Kahama Connect Sehemu iliyojaa tarent na ubunifu wa Hali ya juu kabisaTunafanya mawazo na Ndoto yako kuwa kitu ha...
23/10/2025

Karibu Kahama Connect Sehemu iliyojaa tarent na ubunifu wa Hali ya juu kabisa

Tunafanya mawazo na Ndoto yako kuwa kitu halisia

Bango limesomeka Karibu Hapa Kahama Connect Tukuwekee Mziki wako kwenye Ramani ya Dunia
23/10/2025

Bango limesomeka
Karibu Hapa Kahama Connect Tukuwekee Mziki wako kwenye Ramani ya Dunia

Ndugu wasanii wadau wa music Tanzania Sisi  tumewasha Taa ya kijani tukiwaambia now ndio wakati sahihi wa kuweka mziki w...
22/10/2025

Ndugu wasanii wadau wa music Tanzania Sisi tumewasha Taa ya kijani tukiwaambia now ndio wakati sahihi wa kuweka mziki wako kwenye Digital platforms ili Uweze kukuingizia kipato

Karibu  Tukupe huduma Bora.Huduma Tunazotoa Ofisini k**a Ifuatavyo:-1) BUSINESS BRANDING AND DESIGN 2) SOCIAL MEDIA MANA...
22/10/2025

Karibu Tukupe huduma Bora.

Huduma Tunazotoa Ofisini k**a Ifuatavyo:-
1) BUSINESS BRANDING AND DESIGN

2) SOCIAL MEDIA MANAGEMENT

3) MUSIC DISTRIBUTION AND PROMOTION

Karibuni wote
Email 📨 Kahamaconnect@gmail.com

17/10/2025

Ni Daraja la Biashara yako na Mafanikio yake

Follow  Sisi   Tupo tayari kuku-connect na Wateja wa Biashara yako , Tutumie Sisi k**a Daraja la biashara yako
12/10/2025

Follow
Sisi Tupo tayari kuku-connect na Wateja wa Biashara yako , Tutumie Sisi k**a Daraja la biashara yako




 kwa Ajili yako wewe mfanyabiasharaKaribu ofisini tukuhudumie
11/10/2025

kwa Ajili yako wewe mfanyabiashara
Karibu ofisini tukuhudumie

Kisukari cha Mimba ni nini?Ni aina ya kisukari kinachotokea kwa wanawake wakati wa ujauzito, hata k**a kabla hawakuwa na...
27/08/2025

Kisukari cha Mimba ni nini?

Ni aina ya kisukari kinachotokea kwa wanawake wakati wa ujauzito, hata k**a kabla hawakuwa na kisukari. Hutokea kwa sababu homoni za ujauzito huathiri namna mwili unavyotumia insulini na kufanya sukari kubaki nyingi kwenye damu.

Mara nyingi hakuna dalili wazi, lakini wakati mwingine mama mjamzito anaweza kupata:

*Kiu ya mara kwa mara

*Kukojoa mara nyingi zaidi ya kawaida

*Uchovu mwingi

*Kiwango cha sukari kubainika juu kwenye vipimo

Madhara yanayoweza kutokea kwa kwa mama Mjamzito mwenye kisukari na mtoto wake Tumboni ni k**a ifiatavyo👇

Mama: shinikizo la juu la damu, kujifungua kwa upasuaji (C-section), hatari ya kupata kisukari baadaye.

Mtoto: kuzaliwa mkubwa kupita kiasi, matatizo ya kupumua, sukari kushuka mara tu baada ya kuzaliwa

Namna ya kudhibiti

Kula chakula chenye uwiano mzuri (epuka sukari nyingi na vyakula vya mafuta kupita kiasi).

Fanya mazoezi mepesi ya mara kwa mara (k**a kutembea).

Kufanya vipimo vya sukari mara kwa mara k**a daktari alivyoshauri.

kwa maswali yeyote tufate DM tutakujibu haraka sana

1️⃣ Hedhi ni nini?Ni mchakato wa kawaida wa kibaolojia unaotokea kwa wanawake na wasichana walio balehe.Hutokea kila mwe...
27/08/2025

1️⃣ Hedhi ni nini?

Ni mchakato wa kawaida wa kibaolojia unaotokea kwa wanawake na wasichana walio balehe.

Hutokea kila mwezi pale ambapo yai halijachavushwa, hivyo ukuta wa mfuko wa mimba hutoka nje k**a damu.

Ni sehemu ya uzazi na afya ya mwanamke, si ugonjwa.

Umri wa kuanza na muda wa mzunguko

Mara nyingi huanza kati ya miaka 9 – 16.

Mzunguko wa kawaida ni kati ya 21 – 35 siku.

Hedhi yenyewe hudumu siku 3 – 7.

Dalili za kawaida kabla na wakati wa hedhi

Maumivu ya tumbo (cramps)

Kichwa kuuma, uchovu

Matiti kujaa/kuuma

Mabadiliko ya hisia (kukasirika, huzuni, n.k.)

---

4️⃣ Usafi wa hedhi

Tumia pedi, taulo za kitambaa safi au kikombe cha hedhi.

Badilisha pedi kila baada ya masaa 3–6 au unapohisi imejaa.

Osha mikono kabla na baada ya kubadilisha.

Epuka kutumia nguo chafu.

wakati wa hedhi
Kula vyakula vyenye madini ya chuma (k**a nyama, mboga za kijani, dengu).

Kunywa maji ya kutosha.

Fanya mazoezi mepesi (yanapunguza maumivu).

Epuka kahawa na vyakula vyenye chumvi nyingi.

🙏

Share post hii kwa Mabinti walio mashuleni na wanawake kwa ujumla wake na Sisi k**a tutafarijika kuona watu wengi wamepata Elimu hii ya Hedhi kwa wanawake

Address

Kahama

Telephone

+255652580857

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Said kilele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Said kilele:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram