03/11/2021
TIBA MAONGEZI, Je! unajua au umeshawahi kusikia tiba maongezi? Unapokumbana na changamoto ambayo unaona huna watu au mtu wakumwambia ni muda sahihi wakupata ushauri wa kitaalam kuhusu tiba maongezi ambayo itakuwezesha kupata suluhisho sahihi la changamoto unazopitia. Kupitia AFYA NI MTAJI tunakufahamisha kuwa tiba maongezi inasaidia kutibu msongo wa mawazo, sonona pamoja na afya ya akili kiujumla kwakuweka wazi jambo linalokutatiza au kukusumbua...........