Fred msigala fans

Fred msigala fans KARIBU KWE UKURASA HUU UJIFUNZE MAMBO MENGI KUHISU AFYA

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??  👇👇Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuat...
24/10/2022

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?? 👇👇
Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu eneo. karibu tukuhudumie *DAWA HII INAPATIKANA KWA TSH 36000/= badala ya TSH 45, 000/=

Wasiliana nasi 0766525826

KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI ⏩⏩Ni moja ya sababu inayopelekea mwanamke Kushindwa kubeba /kushika mimba.- Mirija ya Uzazi i...
26/09/2022

KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

⏩⏩Ni moja ya sababu inayopelekea mwanamke Kushindwa kubeba /kushika mimba.

- Mirija ya Uzazi ina weza kuziba kwa sababu mbali mbali.
- Kuziba kwa mirija ya uzazi ni moja ya sababu kubwa ya Ugumba kwa wanawake.

SABABU ZINAZOWEZA PELEKEA MWANAMKE KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI NI...

- Kuwa na Uvimbe ambao umeota kwenye mirija ya uzazi
- Kuwa na Ugonjwa wa maambukizi ya kizazi na Nyonga.
- Kuwa na historia ya mimba kutunga nje ya kizazi.
- Magonjwa ya zinaa na upasuaji wa tumbo au uvimbe kwenye ukuta wa uzazi.
- Kuwa na maambukizi kwenye mirija yaliyo sababishwa na utoaji wa mimba, kupasuka kwa kidole tumbo.
- Uzazi wa mpango (Lupu/Kitanzi)
- Ajari iliyo husisha Tumbo.
- Mirija kujaa maji.

DALILI ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

- Maumivu wakati wa kujamiana /Tendo
- Maumivu makali ya nyonga na Tumbo kwa chini.
-Mbegu za mwanaume kutoka nje zote baada ya kumaliza tendo la ndoa
- Kupata hedhi matone ikiambatana na Maumivu makali/Kupata damu nyingi Wakati wa hedhi.
- Maumivu makali wakati wa kukojoa
- Maumivu makali ya Mugongo kwa chini/Kiuno
- Kuchoka sana

VIPIMO | MATIBABU | NAMNA YA KUZUIA /KUJIKINGA

- Vipimo vinapatikana kwenye vituo vya Afya Baada ya uchunguzi na Maelezo.
- Kipimo cha picha ya Tumbo
- Kipimo cha damu.
- Kipimo cha mkojo
- Matibabu hutolewa na mtoa Huduma wa Afya baada ya Maelezo na uchunguzi wa kina

NAMNA YA KUZUIA/KUJIKINGA

- Epuka utoaji mimba
- Tibu mapema magonjwa ya zinaa
- Chunguza/Pima Afya Mara kwa Mara.
- Wahi kituo cha Afya uonapo dalili k**a hizi.
- Tumia Dozi kikamilifu

Kwa Maelezo na ushauri,Maswali andika hapa chini..

Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba
WhatsApp : 0766-525-826

JE HUYU NI WEWE !??• Unatamani Kumiliki Biashara lakini hujui UANZIE WAPI ??• Umeajiriwa lakini MSHAHARA ni MDOGO, na Ha...
12/09/2022

JE HUYU NI WEWE !??

• Unatamani Kumiliki Biashara lakini hujui UANZIE WAPI ??
• Umeajiriwa lakini MSHAHARA ni MDOGO, na Haukidhi Mahitaji Kabisa ??
• Ni MJASIRIAMALI/MFANYA BIASHARA unataka kukuza biashara yako ??
• Umemaliza shule HUJAPATA AJIRA, Miaka inakatika na ungependa kupata njia ya kukuleta kipato binafsi ??
• UKO MTAANI na hauna Shughuri yeyote ya kukuingizia kipato ??
• Wewe ni mama wa nyumbani, unatamani ufanye kitu KIKUONGEZEE KIPATO CHAKO ??

K**a jibu NDIO basi huu ujumbe ni Muhimu kwako...

Nafahamu changamoto unayopitia.
Hata mimi nilipitia changamoto k**a hiyo.
Ila nilichogundua kuna mfumo mzuri sana wa biashara KWA kutumia mtaji mdogo tuu na utaweza kumiliki biashara yako na kubadilisha Maisha yako moja kwa Moja.

UNGEPENDA KUPATA MWONGOZO KUHUSU MFUMO HUU !??
📍GUSA LINK HII KUPATA MWONGOZO ZAIDI.

https://wa.me/255766525826?text=Nahitaji%20Mwongozo%20Zaidi%20Kuhusu%20Biashara%20hii

NB: UTAANZA KUFANYIA KAZI BIASHARA UKIIELEWA NA UKIONA NI SAHIHI KWAKO.

*SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:*✍️Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo...
09/09/2022

*SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:*

✍️Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo mwingilia mwanamke kimwili,na humchukua dakika moja ama mbili tu,kumaliza tendo, baada ya hapo hukosa hamu ya kuendelea tena, na uume wake huwa legelege..

✍️Sababu nyingine ni kupania,kuwa na hamasa kupitiliza,kuwa na uoga na matatizo mengine ya kiseikolojia..

✍️Uwezo mdogo wa ngozi ya uume kuhisi au kupata mguso wakati wa tendo,na matatizo ya neva za mwili..

✍️Sababu nyingine ni uume kushindwa kusimama(erectile # dysfunction) kutokana na kulegea kwa msuli wa pelvic floor muscle.

✍️Kiwango kidogo cha homoni,uzalishwaji hafifu wa kemikali kwenye ubongo(neurotransmitters)..

✍️Sababu zingine ni za kijenetiki,maambukizi hususani magonjwa ya zinaa,na matatizo ya vimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanaume..

*DALILI ZA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:*

📍Kumaliza mapema au kabla ya tendo,tatizo hili huweza kuwatokea hata wale wanaofanya punyeto,wana weza kufika kileleni mapema tu,lakini wakati huo huo kufanya punyeto ni sababu moja wapo ya tatizo..
📍Dalili zingine ni,kuboreka,kughadhabika na uoga wa kumkalibia mwenza wako..
Tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanaume watatu,mwanaume mmoja ana tatizo la kufika kileleni mapema au kabla, wakati wa tendo la ndoa!!

Hili tatzo kwa kweli linakosesha amani Sana, yaani usikubali kuliacha liwe sugu litakusumbua Sana, litakupatia stress Sana.

Wahi tibaa
Nipigie 0766525826






Herbal clinic] .danda Herbal clinic]

🌹Habari..!Utajuaje k**a una Uvimbe kwenye kizazi...?Kutambua unauvimbe kwenye kizazi utaona dalili hizi hapa👇• Kubleed m...
07/09/2022

🌹Habari..!

Utajuaje k**a una Uvimbe kwenye kizazi...?

Kutambua unauvimbe kwenye kizazi utaona dalili hizi hapa👇

• Kubleed mabonge

• Kubleed kiasi cha kuishiwa damu

• Tumbo kuwa kubwa

• Tumbo kujaa gesi

• Kupata maumivu makali Sana wakati wa period

• Kupata maumivu makali wakati wa ovulation

• Kutokwa na uchafu ingawa sio kwa wote

• Kutokwa na damu baada ya tendo

• Mimba kutungwa nje ya kizazi

• Kuvimba miguu

• Kupata choo kigumu

• Kukojoa mara kwa mara kwani nafasi kubwa ya Uvimbe husababisha mgandamizo wa kibofu cha mkojo
Kumbuka usipuuzie tatizo la Uvimbe kwani linaweza kusababisha ukapata shida nyingine nyingi katika mwili wako.

Wasiliana nasi 0766525826

*_Lijue Tatizo la Uvimbe Kwenye Kizazi(FIBROIDS)_*  0766525826                       Ni uvimbe Unaotokana na Misuli Ya K...
07/09/2022

*_Lijue Tatizo la Uvimbe Kwenye Kizazi(FIBROIDS)_*

0766525826

Ni uvimbe Unaotokana na Misuli Ya Kuta Za Kizazi pamoja na Tissue zake Kukua Kupitiliza. 🌹Mara Nyingi Uvimbe huu Unatokea wakati Wa Ujauzito 🌹Pia Kipindi mtu anatumia Vidonge vya Uzazi wa Mpango 🌹Mara nyingi Uvimbe huu huja kuisha baada Ya Mwanamke Kufikia Ukomo wa Hedhi

*_Vitu Vinavyopelekea Kupata Uvimbe Kwenye Kizazi_*
🌹Kutokuzaa 🌹Uzito Kupita Kiasi 🌹Kuvuta Sigara 🌹Matumizi Ya Vidonge vya Uzazi wa Mpango 🌹Kiwango Kikubwa Cha hormon ya Estrogen

*_Dalili Za Uvimbe Kwenye Kizazi_*
🌹Kutokwa na hedhi Kwa muda Zaidi ya siku saba 🌹Pressure Symptoms(Kukojoa mara kwa mara, Kupata choo kigumu, Tumbo kujaa eneo la Chini) 🌹Maumivu Makali Wakati wa hedhi 🌹Maumivu wakati wa tendo 🌹Mimba Kutoka Mara kwa mara
*_Madhara Ya Uvimbe Kwa Mama Mjamzito_*

🌹Ujauzito Kuharibika 🌹Kupata uchungu wa Uzazi Kabla Ya Wakati 🌹Mtoto Kukaa Vibaya tumboni 🌹Kupoteza damu Nyingi baada ya Kujifungua 🌹Mimba Kutungwa nje ya mfuko wa uzazi Tiba Inayojulikana Kwa Tatizo hili ni Upasuaji ili Kuondoa Uvimbe. Lakini endapo Uvimbe huu utakua umechukua eneo kubwa, Kizazi Chote Huondolewa .

*Kwa bahati nzuri tumekuja na suluhisho la kudumu la tatizo hili kwa mda mfupi sana na kwa kutumia tiba lishe nzuri sana ambayo licha ya kumaliza tatizo lako itakusaidia pia kukupa kinga ya mwili na faida nyingine kibao mana hapa unatumia chakula k**a dawa na siyo dawa k**a chakula. Chukua hatua mapema kabla madhara makubwa hayajakupata. Asante na karibu sana kwa huduma zetu zilizokatika mikoa karibu yote Tanzania.*

*JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*🌲Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anawezakuambukizwa PID. *Njia hizo ni pamoja na:*🎯K**...
06/09/2022

*JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*

🌲Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza
kuambukizwa PID.

*Njia hizo ni pamoja na:*

🎯K**a una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa

🎯Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala
na wanaume tafauti tafauti)

🎯Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi
nnje

🎯 K**a umekuwepo na historia ya PID hapo
nyuma

🎯Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara
baada ya kujifungua (au postpartum period)

🎯 Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya
kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post
abortion) au mara baada ya mimba kutoka
(miscarriage)

🎯Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa
mpango

🎯Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya
PID

🎯Kutumia (Vaginal Dauche)
I
🎯Unaweza kuwasiliana nami kwa msaada na ushauri zaidi.

*Nipigie simu au tuma ujumbe inbox*

Wasiliana nasi WhatsApp 0766525826

JE UNAJUA FAIDA ZA JUICE ZA KAROTITumia juice hii kila siku glass Mbili
05/09/2022

JE UNAJUA FAIDA ZA JUICE ZA KAROTI

Tumia juice hii kila siku glass Mbili

🌽"UGONJWA WA KISUKARI - 🌽DIABATES  MELLITUS🌽~ Nini Chanzo ?🥒Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) hutokea pale tezi ko...
05/09/2022

🌽"UGONJWA WA KISUKARI - 🌽DIABATES MELLITUS🌽

~ Nini Chanzo ?

🥒Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) hutokea pale tezi kongosho (pancrease) inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya Insulin, au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho cha insulin na kusababisha kuongezeka kiwango cha sukari kwenye damu (hyperglycemia).

🥒Insulin ni kichocheo au homoni inayotengenezwa na kongosho ili kudhibiti kiwango cha sukari.

🥒Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa kuwa na kiwango kidogo cha Insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili. Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu.

🥒Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea.

1.Tukio la kwanza ni sukari inayoitwa glucose ambayo ni chanzo cha nguvu mwilini huingia katika damu.

2.Tukio la pili ni kiungo kinachoitwa kongosho (pancrease) kutengeneza kichocheo cha Insulin. Kazi ya Insulin ni kuondoa glucosei katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumiwa k**a nishati.

🥒Watu wenye ugonjwa wa kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu.

🥒Hii ni kutokana sababu zifuatazo.

1.Kongosho kutokuwa na uwezo wa kutengeneza insulin ya kutosha, au--->
2.Seli za mwili haziathiriwi na insulin k**a inavyotakiwa ama sababu zote hizo mbili.

🥫AINA ZA KISUKARI🥫

1⃣ KISUKARI AINA YA KWANZA🍬 - 🥫TYPE 1 DIABETES MELLITUS🥫

🥒Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana. Aina hii hutokea iwapo seli maalumu zinazotengeneza homoni ya insulin zinapokosekana katika tezi kongosho au zinapoharibika kutokana na sababu yeyote ile, na hivyo kusababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu.
Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa tezi kongosho kunakoweza kufanywa na magonjwa ya kinga ya mwili ya mtu mwenyewe au autoimmune diseases, au kushambuliwa na vyanzo visivyojulikana.

2⃣ KISUKARI AINA YA PILI🥫 -(TYPE 2 DIABETES MELLITUS)🥫

Hii ni kubwa kuliko kutoka kampuni ya BF SUMA TANZANIA
04/09/2022

Hii ni kubwa kuliko kutoka kampuni ya BF SUMA TANZANIA

PID - PELVIC INFLAMATORY DISEASES. Ni madhara yatokanayo na wadudu (bacteria) walioshambulia via vya uzazi, mirija ya fa...
04/09/2022

PID - PELVIC INFLAMATORY DISEASES.

Ni madhara yatokanayo na wadudu (bacteria) walioshambulia via vya uzazi, mirija ya fallopian, mifuko ya mayai(ovaries), mfuko wa uzazi(uterus), shingo ya kizazi na uke.

PID ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi sana na Mara nyingi bila kujua ni PID.

SABABU ZA PID.

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kupata PID.

1. Kufanya ngono isiyo salama.

2. Maambukiz ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama au mara baada ya mimba kuharibika.

3. Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi.

4. Kuugua U.T.I SUGU na FANGASI SUGU bila kupona.

DALILI ZA PID NI K**A ZIFUATAZO;

1. Kichefuchefu
2. Kutapika
3. Homa za Mara kwa Mara.
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5. Maumivu wakati wa s*x
6. Uume kutoka na uchafu baada ya s*x (uchafu huu unatoka kwa mwanamke).

Wasiliana nami 0766525826
══════ 🍃🍃 ══════

Address

Kariakoo
001

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255766525826

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fred msigala fans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Fred msigala fans:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram