Afya ni muhimu

Afya ni muhimu Karibu kwa ushauri na tiba ya kudumu

Mwili wa binadamu ni k**a mashine,unapopatwa na tatizo lolote huwa hauachi kufanya kazi moja kwa moja ila hutoa aina ful...
14/09/2021

Mwili wa binadamu ni k**a mashine,unapopatwa na tatizo lolote huwa hauachi kufanya kazi moja kwa moja ila hutoa aina fulani za viashiria kukupa taarifa juu ya uwepo wa tatizo hilo.Mojawapo ya vitu vinavyotoa ishara ya uwepo wa tatizo mwilini ni mkojo kupitia rangi zake tofauti
-
1)NJANO MPAUKO/DHAHABU.
Inaonesha kila kitu kiko sawa mwilini.Rangi hii husababishwa na chembechembe za urochrome zinazozalishwa na mwili
-
2)HAKUNA RANGI(kwa uelewa tusema mweupe)
Inaonesha umetumia kiasi kikubwa cha vimiminika au maji.Inawezekana pia umetumia vyakula/dawa/vinywaji aina ya diuretic (vitu vinavyosababisha mwili utoe maji mengi kupitia mkojo). Ni sawa
-
3)ASALI MBICHI/KAHAWIA.
Inaonesha unakabiliwa na upungufu mkubwa wa maji (dehydration) hivyo ongeza unywaji wa maji.Inaweza kumaanisha pia kuna tatizo katika ini hivyo isipoisha ndani ya siku 2 au 3 baada ya kunywa maji mengi basi fika hospitalini
-
4)PINKI/NYEKUNDU.
Inasababishwa na ulaji mwingi wa vyakula k**a blackberries na karoti.Pia hutokea baada ya kunywa dawa za antibiotics (k**a rifampin na phenazopyridine) hasa wakati wa kutibu magonjwa k**a UTI.Wakati mwingine damu pia inaweza kuwemo,hii haimaanishi moja kwa moja kuwa ni tatizo lakini mara nyingi humaanisha tatizo la figo,uvimbe,UTI au tezi dume.Muone daktari
-
5)RANGI YA CHUNGWA.
Kutokana na muonekano wake inaweza kumaanisha upungufu wa maji mwilini(dehydration),ini au nyongo hivyo pata usaizidi wa matibabu haraka.Pia inaweza kutokea baada ya kunywa dawa k**a phenazopyridine,dozi ya vitamin B2
-
6)BLUU/KIJANI.
Hali hii hutokea baada ya kula vyakula vilivyo wekewa rangi hizi au dawa k**a anesthetic propofol (dawa ya kuondoa maumivu) na promethazine (dawa ya allergy/asthma).Rangi hii pia ikiendelea kuwepo kwa siku 2 au 3 pata msaada katika kituo cha afya kilicho karibu yako
-
7)MUONEKANO WA POVU LA SABUNI.
Mara nyingi humaanisha uwepo wa protini nyingi kwenye figo jambo ambalo siyo zuri sana kwa afya yako.Tafuta tiba.
-
Mkojo ni kiashiria muhimu sana katika kutoa mrejesho wa jinsi usawa wa mwili na afya zetu ulivyo hivyo tunapoona mabadiliko yasiyo ya kawaida ya rangi ya mkojo ni vema kutokupuuzia.Tutafute msaada wa tiba na ushauri mapema.
Kwa ushauri na tiba wasiliana kwa namba
0746298686 WhatsApp/text/kupiga simu.

Faida 8 za kula karanga;1. Hutuliza shinikizo la damu.2. Huharibu lehemu.3. Huharibu sumu zinazoua seli za mwili.4. Huzu...
14/09/2021

Faida 8 za kula karanga;
1. Hutuliza shinikizo la damu.
2. Huharibu lehemu.
3. Huharibu sumu zinazoua seli za mwili.
4. Huzuia kutengenezwa kwa mawe kwenye mfuko wa nyongo.
5. Hukulinda usipatwe na magonjwa ya akiii hasa yale ya kupoteza kumbukumbu.
6. Hutoa kinga kwa magonjwa ya moyo.
7. Huukinga mwili dhidi ya aina mbalimbali za saratani.
8. Huboresha afya ya uzazi.

Karanga zote ni nzuri,lakini mbichi ndiyo nzuri zaidi.

“C 24/7” ni kidonge (capsule) kilichotokana na utafiti wa muda mrefu na kukusanya viritubisho “140” vya asili ndani ya k...
05/09/2021

“C 24/7” ni kidonge (capsule) kilichotokana na utafiti wa muda mrefu na kukusanya viritubisho “140” vya asili ndani ya kidonge kimoja (kirutibisho kimoja). Virutubisho hivyo vimetoka kona zote za dunia vikijumuisha kona zote nne za Dunia vikijumuisha “VITAMINI MUHIMU KWA MWILI” pia madini, amino acids, mafuta muhimu kwa mwili, antioxidants na phyto-nutrients, enzymes zinazo saidia kuyeyusha chakula._____________________________________________________virutubisho hivi vimetokana na “ MATUNDA 12, MBOGA ZA MAJANI 12, aina za UYOGA 12, VITAMIN na MADINI AINA 29, AMINO ACIDS 10 na ANTI AGING specials (japanese knotweed) vyote hivi viko ndani ya kidonge (capsule) moja ya c24/7. Ni kirutubisho cha mwili cha kiada na cha kipekee ambacho hakijapata na aina ingine yoyote ya kukulingana nacho hadi sasa. Ni mchanganyiko uliobuniwa na kufanikiwa kwa kiwango kikubwa sana ambacho kinauwezo wa “KURUDISHA , KUKAARABATI, NA KUAMSHA AFYA YA MTU ILIODORORA “ pia HUZUIA MTU MWENYE AFYA NZURI KUPATA MAGONJWA SUGU” na kumfanya kua na afya nzuri na kujenga mwili katika (kinga) immunity nzuri na afya iliyobora. Mchanganyiko huu hufanya kazi kwa kuupa mwili virutubisho vyote ambavyo umekosa kutokana na kula chakula cha kisasa kinachokosa virutubisho muhimu. ______________________________________________________ C24/7 INAKULINDA NA MAGONJWA ZAIDI YA 100 yakiwemo;
1. KISUKARI (Diabetes)
2. KANSA YA MATITI (breast cancer).
3. PRESHA YA KUPANDA NA KUSHUKA. (high&low blood pressure)
4 . GAUTI
5.KUVIMBA MIGUU ( Arthritis/ rheumatism) . _6. KUBANWA KIFUA
7. MAUMIVU YA TUMBO( Abdominal pain) __8. UPUNGUFU WA DAMU (anaemia).
9. UGONJWA WA INI (cirrosis) 10. KUKOSA CHOO (constipation) 11. KUSHINDWA KUMENG’ENYA CHAKULA ( indigestion) __12. KIFAFA (epilepsy) _ 13. UVIMBE KWENYE MFUKO WA UZAZI (fibroids). __14. GONORRHEA _15. UGONJWA WA MOYO. ( heart attack) _16. SHINIKIZO LA DAMU (hypertension). _17. HEADACHES , MAUMIVU YA KICHWA _18. IMMUNODEFICIENCY _19. UTASA (INFERTILITY) _20. MAFUTA MABAYA MWILINI (bad cholesterol) _21. KIDNEY STONES (mawe kwenye figo) _22. UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME _23. MUWASHO NA UCHAFU UKENI (vaginal discharge).
-
-
Kwa ufafanuzi zaidi, ushauri na tiba ya kudumu no ni;
0746298686 WhatsApp tu.
na 0789746686 kupiga na text.

★ZIJUE FAIDA 9 ZA NATURAL FEMININE WASH 1⃣Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa ...
04/09/2021

ZIJUE FAIDA 9 ZA NATURAL FEMININE WASH
1⃣Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo.

2⃣Inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu.
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D na bidhaa ya C24/7.
4⃣Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika.

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na kuwa na ute wa kawaida muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika ikitumiwa na bidhaa ya C24/7.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu (chango).
9⃣ inaondoa michubuko ukeni.

Karibu tukuhudumie kwa tiba na ushauri no ni
0746298686 WhatsApp tu.
na 0789746686 kupiga na text.

“C 24/7” ni kidonge (capsule) kilichotokana na utafiti wa muda mrefu na kukusanya viritubisho “140” vya asili ndani ya k...
30/01/2021

0766014023 na 0789746686 kupiga na text.

Tuwaheshimu sana mama zetu kwa kututunza miezi yote tisa tumboni mpaka leo hii....Tuliwasumbua sana kwa mambo mengi sana...
29/01/2021

Tuwaheshimu sana mama zetu kwa kututunza miezi yote tisa tumboni mpaka leo hii....Tuliwasumbua sana kwa mambo mengi sana k**a;
1)Kutapika kipindi cha mimba.
2)Kuvimba miguu.
3)Mara kuanza kuchagua vyakula.Hapa utakuta anaomba wali nyama halafu akakataa kula anahitaji chakula kingine au anaweza kuomba umnunuliwe muwa akakuambia utafune mimi nataka nisikie sauti ukitafuna muwa.
4)Kupungukiwa damu.
5)Kuchukia baadhi ya watu.
Inahitaji uvumilivu sana hiki kipindi...Hongereni na poleni sana akina mama na baba kwa malezi kipindi chote hicho.

Na hii utashika miguu yote miwili kupitia mgongoni na kuvuta pumzi kwa nguvu na kuibana halafu unaachia taratibu k**a se...
29/01/2021

Na hii utashika miguu yote miwili kupitia mgongoni na kuvuta pumzi kwa nguvu na kuibana halafu unaachia taratibu k**a sekunde kumi (utairudia mara tano) asubuhi na jioni.
Zoezi hili lifanyike pamoja na zoezi nililokwisha kupost kabla ya hii.

Hili zoezi ni nzuri sana kwa mwanaume mwenye tatizo la nguvu za kiume;♦Huimarisha mishipa ya uume iliyolegea.           ...
29/01/2021

Hili zoezi ni nzuri sana kwa mwanaume mwenye tatizo la nguvu za kiume;
♦Huimarisha mishipa ya uume iliyolegea. ♦Kukupa pumzi ya kudumu kufanya kwa muda mrefu.
♦ Huimarisha ubongo uliyoathirika na punyeto.
♥Ifanyike asubuhi kabla hujala au kunywa chochote na jioni kwa wiki tatu mfululizo.

✓Pia kuna virutubisho lishe kwaajili ya kuongeza madini ya zinc ambayo ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu hasa mwanaume.
-
-
Kwa ushauri na tiba no ni
0746298686 WhatsApp tu.
0766014023 na 0789746686 kupiga na text.

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA SIRI(VAGINAL THRUSH) Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,kwa maana...
28/01/2021

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA SIRI
(VAGINAL THRUSH)

Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,kwa maana ya

UKE ni kiungo cha uzazi wa mwanamke, ambamo ndani yake kuna Lactobacillus bacteria na fangasi wazuri ambao wako katika kiwango kinacho lingana/a balanced mix. Bacteria hawa na fangasi hizi husaidia sana kuulinda uke na maradhi mbalimbali endapo uwiano wake hauta bughudiwa. Lactobacillus bacteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi kukuwa au kuwa wengi zaidi.

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI ni ugonjwa anaoupata mwanamke endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo ukeni au k**a pH ya uke imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa(pH 3.5-4.5 ndio kiwango kizuri kiafya).

FANGASI ZA UKENI MARA NYINGI HUSABABISHWA NA FANGASI WAITWAO CANDIDA ALBICANS, LAKINI WAKATI MWINGINE NI AINA NYINGINE ZA FANGASI NA HIZI NI VIGUMU SANA KUTIBIKA

VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI

kuna sababu nyingi sana baadhi ya hizo ni;

1.MATATIZO YA VICHOCHEO (HOMONI ZA KUBADILIKA/ KUWA NYINGI SANA AU KUSHUKA SANA) hii inaweza kusababishwa na; ukomo wa hedhi,ujauzito, kuwa katika siku za mwezi, matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha hormon za k**e

2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS. hizi huuwa bacteria wazuri na kubadili pH ya uke.

3.KUFANYA MAPENZI NA MTU ALIYE NA UGONJWA WA FANGASI ZA SEHEMU ZA SIRI BILA KINGA.

4.KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI; hii inaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali k**a UKIMWI, KISUKARI, UPUNGUFU WA MADINI,VITAMINI NA VIRUTUBISHO MBALIMBALI VYA MWILI.

5.ULAJI MBAYA HASA KUPENDELEA VYAKULA VYENYE SUKARI KWA WINGI (SUKARI NI CHAKULA KWA FANGAS HIVYO HUONGEZEKA).

6.KUKOSA USINGIZI NA MSONGO WA MAWAZO .

★DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNA UGONJWA WA FANGAS ZA UKENI;

Kuna dalili nyingi sana k**a zifuatavyo;

~MUWASHO SEHEMU ZA SIRI.

~VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI.

~KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA.

~VIDONDA AU MICHUBUKO UKENI.

~KUTOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI.

~KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA.

~KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE.

~KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE.

♦KINGA YA FANGASI ZA K**E

1.EPUKA KUSAFISHA UKE KWA KUTUMIA VITU VYENYE KEMIKALI K**A SABUNI.

2.EPUKA KUTUMIA MARASHI YENYE KEMIKALI UKENI NA KUINGIZA VITU MBÀLIMBALI UKENI K**A VIDOLE, ASALI, MGAGANI N.K

3.EPUKA KUTAWAZA KUTOKEA NYUMA KWENDA MBELE BAADA YA KUJISAIDIA HAJA KUBWA AU NDOGO.

4.MTIBU MPENZI WAKO ALIE NA UGONJWA WA FANGAS.

5.SAFISHA UKE KWA MAJI SAFI TU.

6.HAKIKISHA KINGA YA MWILI WAKO IKO JUU.

7.VAA CHUPI ZITENGENEZAVYO KWA VITU HALISI K**A PAMBA.

8.EPUKA ULAJI MBAYA WA CHAKULA HASA PUNGUZA VYAKULA VYENYE KUKUPA SUKARI KWA WINGI MWILINI.

9.TUMIA PEDU ZISIZO NA KEMIKALI NA ZENYE VITU VYA KUKULINDA NA MAAMBUKIZI,KUKUFANYA UWE MKAVU.

♠MATIBABU
UGONJWA HUU HUTIBIWA KWA VITU VIFUATAVYO;

~*COMPLETE PYHTOENEGERGIZER*; -ITAKUTIBU FANGAS,U.T.I SUGU ILE AMBAYO BAKTERIA WAKE WA U.T.I WAPO KWENYE FIGO. PIA ITASAIDIA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA KUTOKUPATA HEDHI AU MATATIZO YOYOTE YA HEDHI,MWANAMKE AMBAYE HASHIKI UJAUZITO,CANCER,KUONGEZA KINGA YA MWILI, WANAWAKE WENYE UVIMBE(FIBROS) PIA HII *COMPLETE PHYTO ENERGIZER* ina msaada mkubwa sana kwa wanawake na wanaume.

~*FEMININE WASH*-ITAKUTIBU FANGAS NA U.T.I KWENYE KIBOFU CHA MKOJO, INASAIDIA KUWEKA UKE SALAMA,INAONDOA UCHAFU WOTE ULIOPO KWENYE MIRIJA YA UZAZI,INASAIDIA UKE KUWA KATIKA HALI YAKE YA MWANZO,INAONDOA FANGAS,MIWASHO.

N:B NI MUHIMU KUTUMIA DAWA ZA ASILI ZA VIRUTUBISHO NA KUACHA ZENYE KEMIKALI WAKATI WA KUTIBU FANGASI ZA UKENI.
-
-
Kwa ushauri na tiba no
0746298686 WhatsApp
0766014023 na 0789746686 kupiga na text.

★ZIJUE FAIDA 9 ZA NATURAL FEMININE WASH 1⃣Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa ...
28/01/2021

ZIJUE FAIDA 9 ZA NATURAL FEMININE WASH
1⃣Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo.

2⃣Inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu.
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D na bidhaa ya C24/7.
4⃣Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika.

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na kuwa na ute wa kawaida muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika ikitumiwa na bidhaa ya C24/7.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu (chango).
9⃣ inaondoa michubuko ukeni.
★Inapatikana kwa 40,000 lakini leo nitauza kwa 30,000 OKOA elfu kumi.
Karibu tukuhudumie kwa tiba na ushauri no ni
0746298686 WhatsApp tu.
0766014023 na 0789746686 kupiga na text.

Kwa ushauri na tiba tuwasiliane kwa no 0746298686 WhatsApp tu.0766014023 na 0789746686 kupiga au meseji.
28/01/2021

Kwa ushauri na tiba tuwasiliane kwa no 0746298686 WhatsApp tu.
0766014023 na 0789746686 kupiga au meseji.

AINA ZA UCHAFU WA UKENI USIO WA KAWAIDA. Kikawaida uke wa mwanamke una bakteria wa kawaida wazuri waishio katika tunda h...
27/01/2021

AINA ZA UCHAFU WA UKENI USIO WA KAWAIDA.

Kikawaida uke wa mwanamke una bakteria wa kawaida wazuri waishio katika tunda hilo kwa ajili ya ulinzi.
Kitu chochote kitakacho haribu uwiano wa bakteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi,Harufu, au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke.Hapa chini naonyesha aina ya uchafu unaotoka,Maana yake au chanzo chake na dalili ambazo zitatokea kwenye mwili wa mwanamke Husika ukiona una dalili hizo wahi tiba na ushauri piga 🤳👉 njoo inbox

1⃣ UCHAFU WENYE DAMU AU RANGI YA KAHAWIA
• Hi ni dalili ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na Mara chache ni dalili ya cancer ya cervix au aina nyingine ya cancer iitwayo endometrial cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.

2⃣UCHAFU WA NJANO AU KIJANI WENYE HARUFU MBAYA
• Endapo uchafu ukatoka k**a mapovu,wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya ,Hi ni dalili ya Trichomoniasis .Maambukizo ya (parasitic) yanayotokana na Ngono zembe.dalili nyingine ni kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

3⃣ UCHAFU MWEUPE ,WA NJANO AU KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI.
• Uchafu wa aina hii ni dalili ya maambukizi ya bakteria (vaginosis) .Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu ,kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (v***a).

4⃣ UCHAFU WENYE RANGI YA MAWINGU AU NJANO
• Hi ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonerhea) mwanamke atatokwa na damu katikati ya Siku zake, Atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.

5⃣ UCHAFU MWEUPE MZITO K**A JIBINI
• Hi ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (yeast infection).
Na dalili zingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (v***a) Kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.

Je, wewe ni mwanamke unapitia changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi kiasi cha kukata tamaa? unahitaji kupata au kuongeza mtoto 🤱unashindwa kwasababu ya matatizo ya kiafya aidha Hormonal imbalance, kizazi kimelegea,mirija ya uzazi imeziba,kizazi kimejaa maji maji,ovarian Cysts, uvimbe (Fibroids) ,Mayai hayapevuki vizuri Uko na infection k**a PID (pelvic inflammatory disease) Fungus sugu (Candida's albincas yeast )
U.T.I sugu Karibu uwe sehemu ya suluhisho la matatizo yako. No zetu ni 0746298686 WhatsApp tu na kupiga simu au meseji no 0766014086
0789746686.

Address

Kawe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni muhimu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ni muhimu:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram