TANNA TRRH

TANNA TRRH Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TANNA TRRH, Medical and health, Kibaha.

17/12/2025
20/10/2025
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi wakifuatilia wasilisho la Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Tawi...
25/09/2025

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi wakifuatilia wasilisho la Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Tawi la Tumbi.

Mada kuu zilizowasilishwa:
1️⃣ Muundo mpya wa kada ya afya hususani wauguzi na utekelezaji wake.
2️⃣ Umuhimu wa kulipia ada ya wanachama wa TANNA.
3️⃣ Programu ya “Muite Muuguzi Popote” k**a nyenzo ya kuongeza mchango wa wauguzi katika jamii.
4️⃣ Umuhimu wa CPD points kwa ukuaji wa taaluma ya uuguzi. # #.baluhya.96 #.2023 # # # # #

Wauguzi ni jeshi Kubwaa
10/08/2025

Wauguzi ni jeshi Kubwaa

Chama cha Wauguzi Tanna Tawi la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi kimeendelea kusimamia mawasilisho ya mada mbalim...
24/07/2025

Chama cha Wauguzi Tanna Tawi la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi kimeendelea kusimamia mawasilisho ya mada mbalimbali kwa wauguzi wa Hospitali ya Tumbi kwa Kushirikiana na Ofisi ya Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Tumbi ambapo Kila Jumatano ya Kila wiki wauguzi hukutana na kupokea mada iliyoandaliwa lengo likiwa nikuendelea kukumbushana na kujengeana uwezo mahali pa kazi # # #

Katibu Mwenezi wa Chama cha Wauguzi Tanna Tawi la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi atashiriki #  #
23/07/2025

Katibu Mwenezi wa Chama cha Wauguzi Tanna Tawi la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi atashiriki # #

Chama Cha Wauguzi Tanna Tawi la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi kimeendesha mafunzo ya umuhimu na hatua gani za ...
16/07/2025

Chama Cha Wauguzi Tanna Tawi la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi kimeendesha mafunzo ya umuhimu na hatua gani za kufuata ili uwezo kupata CPD point katika mwaka huu wa Kuhuishaa leseni za Uuguzi na Ukunga ambapo Wauguzi walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali ili kupata uelewa wa namna ya kupata CPD point mafunzo hayo yalitolewa na Chama cha Wauguzi Tanna Tawi la Tumbi kwa kushirikiana na Ofisini ya Muuguzi Mfawidhi Hospital ya Tumbi , vile Wauguzi walipata nafasi ya kujua umuhimu wa Kujiunga na Checkoff system ili kuweza kuwa mwanachama hai

# # # #

Wauguzi na wakunga wakipata mrejesho wa mafunzo ya labour care guide
28/06/2025

Wauguzi na wakunga wakipata mrejesho wa mafunzo ya labour care guide

Eid al adhaa Mubarak 🙏
07/06/2025

Eid al adhaa Mubarak 🙏

Wauguzi wa Hospital ya Tumbi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani
03/06/2025

Wauguzi wa Hospital ya Tumbi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani

Address

Kibaha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745104165

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TANNA TRRH posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram