07/01/2023
WACHAWI
Uchawi sio jambo geni barani Africa na Ulimwenguni kwa ujumla
Uchawi ni jambo baya zaidi, Lakini inakuaje bado linashamiri zaidi Africa, na wakati kwa muonekano wa nje wachawi wanaonekana ni watu mafukara na masikini hivyo watu wengi hujiuliza wanafaidika na nini ktk uchawi wakati maisha yao ayabadiliki na kuwa mazuri?
Kumbuka uchawi unatumiwa na wenye hali tofauti matajiri na masikini hivyo dhana ya kuwa uchawi unafanywa na masikini tu iondoe.
Lakini kuna kitu wengi hatukijui ambacho ni utajiri mkubwa wanaoupata wachawi ktk ulimwengu wao ingawa ktk ulimwengu wetu wa dunia wanaonekana ni masikini .
Ieleweke kwanza uchawi ni kitu kikubwa na kina faida nyingi ktk ulimwengu wao na ndio maana mchawi ata akifanywa nini inakua ngumu kwake kuacha, kwa sababu ktk ulimwengu wao wa kichawi mtu anakua mfalme, rais na kiongozi mkubwa kulingana na eneo, wanapata heshima kubwa sana na Mali nyingi lkn wasiokuwa wachawi hawawezi kuona hilo, ndio maana mchawi ata akiwa mdogo lazima awe na zarau kwa sababu ktk ulimwengu wao ni mtu mkubwa na anatumikiwa na watu wakubwa k**a mfalme.
USIJARIBU KUINGIA KTK UCHAWI MAANA UTAMU WAKE NI NGUMU KUUACHA.
NB: WANAWAKE NI WENGI ZAIDI KTK KUNDI LA WACHAWI HIVYO MWANAUME USIEPENDA MWANAMKE MCHAWI BASI UJUE UNAKAZI NGUMU SANA YA KUCHAGUA KWANI NI WENGI SANA WALIOINGIA KTK CHAMA HICHO UKILINGANISHA NA WANAUME.