11/02/2022
KITANDA
Ni sehem muhim sana ktk kujenga maisha ya familia na wanandoa pia, ila watu wengi wamekipuuza sana kitanda.
Sitak niyagusie sana yanayofanyika ktk sehem hiyo ya kitanda, na namna ipi bora ya kufanyika, ila nataka nizungumzie kwa uchache kidogo, pia athari, na faida za kitanda. L
Ktk mahusiano mengi ya wanandoa kitanda imekuwa ni sehem ya kawaida san, tena huwa hata haichukuliw umuhim hata km ndio sehem ya pekee ambayo yeye na mwenza wake hutumia mda mwing wakiwa pamoja.
Kwenye ulingo wa kitanda huwa kunatokea mambo meng sana, ambayo ndio zao la familia ila ya muhim ni km vile; 1. Kujamiiana, 2. kujadiliana/maongezi, na 3. ukaribu wa mwili kwa mwili na mwenza, pia 4. sehem ya kupumzika.
Kwa sasa kitanda majukum yake hayo manne, yamekuwa hayafanyik ipasavyo, wengi kitanda imebak km sehem ya kupumzikia, na hata ktk kujamiiana kumejawa na ubinafsi wa mtu kumaliza ashk ya mwil wake kwa wanaume basi.
Ktk hili napend kugusia upande mmoja baada ya ungine, nikianza na kwa mwanaume.
Hakika kwa mwanaume, sykolojia inasema mwanaume aliyemkamilif kimwil na hisia huwa anafikiria kuhusu mwanamke kimapenz mara 5 na zaid kwa s*ku. Kwa maana nyingine kujamiina kwa mwanaume ni sehem ya msing ktk maish yake.
Hii inamaanisha pia mwil wa mwanaume unahisia km ambavyo mwil wa mwanamke unahisia. Hivyo kuna ving anavyohitaji ili kukidhi haja yake.
Kisykolojia na kisayans kujamiiana huwa kuna faida kubwa ktk mwil wa mwanaume, moja wapo ni kutulia kwa fikra na mawazo chanya, kuondoa ashki ktk mwili, tatu kuujenga mwili na kuuandaa kwa majukum mengine.
Hivyo kuna umuhim kwa mwanamke kumtambua mwanaume, na kujua yupoje kihisia na kimwili ili ammudu vizuri. Ktk siri moja wapo ni kwamba mwanaume akilidhika ktk kujamiiana kwa kumaliz ashki zake za mwili kwa wakat huo wa kujamiiana, huwa na uwezo mkubwa wa kumudu mambo meng ya nje pia husaidia ktk kuilinda ndoa yake kwa kumjali mkewe zaidi na zaid kuliko kawaida. Hivyo ni muhim kwa mwanamke ajue jinsi ya kuumilik mwili wa mwanaume wake ili mwanaume wake aweze kumjali zaidi na zaidi.
Hapa sisemei kuhusu kuwa na mahusiano mengine, hiyo n mada nyingine hapa nagusia ktk kumjali zaidi kwa mahitaji.
Swali, ni wanawake wangapi wanaojua unuhim wa kuujua mwili wa mwanaume na kutumia ujuzi wake ili kuumilik mwili wa mtu wake, ili kumaliza hisia za mwanaume wake?
Kwa upande wa mwanamke kitanda kina umuhim sana hasa ktk kujenga tabia ya mwanamke na utulivu ktk familia. Kisykolojia mwanamke ni mwingi wa maongezi, na ktk hilo huwa anapend apate kus*kilizwa pia na kuongeleshwa.
Hivyo wanaume wanatakiwa kuwa wanatenga muda kwa ajili ya kuongea na mkewe pia kukaa na kus*kiliza porojo ama stor za mwanamke wake. Unaweza kuwa ni mwanaume ukaacha huduma zote nyumbani ila k**a hautengi muda wa kuongea na mwanamke wako hata k**a hana point, basi jua kutokutenga muda huko kunaathiri ubora na uimara wa mahusiano yako/hayo.
Pia ktk hilo, maongezi mengine yawezafanyika ktk kitanda na mengine nje na kitanda. Usifik kitandan km vile mtu unaingia mahak**an kupew hukum. Kwa kutenga muda huko mwanamke huwa hormon zake zinakuwa ktk ulinganifu na kuongeza utuliv wa akili.
Pia kwa mwanamke hisia za kujamiana si kali km za mwanaume, ingawa huwa anahitaji kufika mshindo wa mwisho mara kadhaa anapopandishwa kilelen. Na hakika wanaume wengi huwa wanadharau kuwafikisha kilele wanawake zao na hii huleta matatizo mengi ndani ya familia zao na athari zingine kisaikolojia.
Wengi wa wanaume wamekuwa wabinafsi, huwa wanawaza kutimiza haja zao za kimwili bila kuwafikilia wenza wao km tayar washafika ama bado. Na hii huwa inawaathiri sana wanawake kisaikolojia kwa kubaki na mguso ambao ulitakiwa kukunwa ila haukuisha.
Athari zake kadhaa za kutofikishwa ni k**a vile:-
*Kuwa na hasira za haraka na jaziba sana kwa wengi wa wanawake, kila atakapokuwa ameudhiwa hasa kwa mumewe. Na hii huwa inakuja bila ya yeye pia kujitambua, na inaletwa kwa kubaki kwa hormon nying ambazo zingehitajika zitoke kwa kufikishwa.
*Heshima kushuka kwa kutoms*kiliza sana mumewe kila atakapomuamuru jambo fulani.
*Kupungua kwa kujijali, kwa kujiweka msafi ama uzuri wa mwili kwa kujipodoa. Muda mwingi anakuwa yupo rafu/ovyo.
*Mwili kukak**aa kwa kutokutoa ashki yake yote, yan mwil haulainik vizur k**a asili yao.
*kutokutanuka vizur, kwa kupata shep nzuri zaid. Unawez kuona ukaona anayo kumbe ingezid hapo km angefika ambapo angetakiwa kufika.
*n.k
Kuna mengi ya kuzungumz kuhusu kitanda. Ila waswahili wanasema mazuri machache, vingi vinakera.
Tujaribu kila mtu kwa wakat wake atoe muda wa kumsoma mwenzie, pia muda wa kufundishan baadhi ya mambo. K**a unapenda kukunwa bega, jifunze kusema na kumfunza mwenzio wapi pengine unapotaka kuguswa.
Maana yeye si malaika aoteshwe kila unalotaka ufanyiwe.
Pia tupunguze ubinafsi wa kuwaza nini ufanyiwe na mwenzio sasa waza ukiwa nae kitandani kipi unapenda umfanyie km kiburudisho chako.
Yote hii ni kutaka familia ziweze kudumu zaid na zaidi na mapenzi ya kumcha mungu yazid kuendelea.
Mtume (s a.w) anasema kumfuata mkeo bila kumuandaa, ni udayuthi/ujinga. Na haipendez kwa muumin wa kweli.
Watu tujifunze, elim haina mwisho.