17/11/2025
PCOS sio uchawi, sio laana — ni matatizo ya homoni yanayowapata wanawake wengi bila hata kujua.
Dalili zake ni k**a: mzunguko kutofautiana, kuongezeka uzito, chunusi, na maumivu ya tumbo.
Kujua mapema = Kutibu mapema. Elimu ni kinga. 💛✨.
🇺🇸