22/04/2026
๐จ HOMA YA INI HAINA DALILI MAPEMA!
Wengi hugundua wakiwa tayari wamechelewa ๐
๐ Usikae na hofu bila kujua hali yako!
NJOO tukuhudumie.....
Tunatoa huduma ya VIPIMO VYA HARAKA (HEPATITIS Rapid Test) hapa ofisini majibu ni papo hapo kwa muda mfupi โฑ๏ธ
- Ni rahisi na haraka
- Faragha yako inalindwa
- Unapata ushauri baada ya majibu
๐ฅ Chukua hatua LEO, usisubiri kesho!
Afya yako ni mtaji wako.
๐ Wasiliana nasi sasa au fika ofisini
Tambua... KINGA NI BORA KULIKO TIBA.
๐ pima leo, ujilinde kesho!
Karibuni sana....
CALL / WHATSAPP
+255 756 720