27/04/2026
Kutana na ushuhuda wa dada Anna (siojina halisi)
Dada Anna alijua kuhusu CHITO HEALTH CARE kupitia mmoja wa matabibu( mtoa huduma yatiba lishe) ambaye ni rafiki yake,
Na aliweza kuanza program ya kumaliza uvimbe bila upasuaji na utoke Kwa kuuona Kwa macho unavyotoka Vipande Vipande ...
Huduma hii aliipata ndani ya CHITO TCM HEALTH CARE,
Aliona matokeo kwa macho yake β uvimbe ulianza kupungua na aliishi maisha bora zaidi bila uchungu. π