Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic
Production of Natural Medicine and food Supplements CORNWELL TANZANIA.........................
Innovation in Healthcare
14/11/2025
Msikilize Daktari wako 😊
Cornwell Tanzania tuko na kiwanda Kinachokidhi vigezo na sheria za nchi za utengenezaji dawa na virutubisho, usalama wa matibabu kutoka kwetu ninwa uhakika wa hali ya juu kabisa
Karibu Cornwell Tanzania
13/11/2025
Msikilize Daktari wako!
Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic na Institute inakukaribisha kupata Huduma ya matibabu na kinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza
Tunapatikana Victoria,makumbusho,BMTL Building floor 4
10/11/2025
09/11/2025
TRIGONELLA
Suluhisho kwa changamoto za HOMONI kwa wanawake, wa rika tofauti hata waliopo kipindi cha ukomo hedhi, au wanaokaribia na dalili zimeshaanza, hii ni nzuri sana kwa ajili yao!
Msikilize Daktari 😊
09/11/2025
Msikilize Daktari 😊
Tunatambulisha Product mpya ARTERY AID,
Kwa afya ya moyo
09/11/2025
Tunatambulisha Product mpya BITTER LEAF 🌿
Karibu sana Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic kwa Huduma Bora za afya kwa watu wa rika zote.
Ushauri wa vyakula, namna ya maisha bora kiafya na matibabu kwa dawa na Virutubisho
Msikilize Daktari 😊
08/11/2025
Vyakula ambavyo vinasaidia mwili kujitibu wenyewe
08/11/2025
Vyakula unavyoweza kutumia kusaidia mwili kujitibu wenyewe
27/10/2025
Cornwell Tanzania Naturopathic Institute & Clinic works hand in hand to make sure our services and products satisfies the needs of Our societies
Karibu Sana Cornwell Tanzania
27/10/2025
Know Your Naturopathic Doctor
This is Dr Ralph Brinkmann, our Experienced Naturopathic Doctor and Manager in the School Of Integrative medicine
Be the first to know and let us send you an email when Cornwell Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Clinic yetu inatoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa za asili (Naturopathic Medicine), tunafanya vipimo mbalimbali kwa kutumia utaalam wa Naturopath, vinavyotolewa na wataalam yaani Naturopathic Doctors.
Pamoja na wataalam wetu kuhakikisha matibabu yanafakiwa bila kumsababishia mgonjwa madhara (side effect)
Kutambua chanzo cha tatizo na kuandaa matibabu sahihi.( Identify and treat the causes)
Kuelewa nguvu ya uponyaji ya asili ( The healing power of Nature)
Doctor kumfundisha mgonjwa jinsi ya kuishi ( Doctor as teacher)
Kutibu mwili wote na siyo dalili tu ( Treat the whole person)
Kukinga ( Prevention)
Unaweza kuomba appointment ya kuonana na Doctor kwa kupinga namba 0626 888 111 au 0713 306 263 tembelea website yetu www.cornwelltanzania.com