Healthmatters 101_Afya

Healthmatters 101_Afya Live Healthy......Enjoy Life,
We provide Health Education, sell organic health products and therapeutic services for all age groups and Gender.

15/11/2025

✨️Menu🥙🥑✨️*
▪︎ Air fried veg samosa
▪︎ Air fried chicken spring rolls
▪︎ Salad and Avocado

💥 *Orders Only!*
Call/Wa: *+255 758 394652*

🥪
☺️ 💪 ❤️ ❤️💞❤️

18/10/2025

✨️Stress Vs Stressors✨️

✨️Msongo na visababishi vyake✨️

💥Stress can lead to serious health problems, including over 50 illnesses, and can cause both mental and physical issues like headaches, high blood pressure, anxiety, and fatigue. If you are experiencing continuous or severe symptoms, it's important to seek professional medical advice. 

💥If not well managed, stress can kill!!

✨️Ili kushughulika na msongo ulioathiri afya yako. Kwanza ni muhimu sana ujue chanzo cha tatizo.💥Kujua chanzo cha tatizo...
17/10/2025

✨️Ili kushughulika na msongo ulioathiri afya yako. Kwanza ni muhimu sana ujue chanzo cha tatizo.

💥Kujua chanzo cha tatizo ni nusu ya suluhu ya tatizo hilo.

♦️Tabia mbaya za kuacha ni k**a hizi:
▪︎ Kunywa pombe sana ili kuondoa mawazo
▪︎ Kula ovyo hasa vyakula visivyo rafiki kwa afya (mf. Wanga uliokobolewa, vyakula/vinywaji vyenye sukari nying, vyakula vitokanavyo na maziwa n.k)
▪︎ Kutokupumzika mda wa kutosha
▪︎ Kutokufanya mazoezi

♦️Mifano ya mambo sahihi ya kufanya:
▪︎ Kula vizuri (vyakula vyenye virutubishi (madini na vitamini) muhimu ili kusupport mwili wako kupona kwa haraka.
▪︎ Punguza sana au acha kabisa pombe
▪︎ Fanya mazoezi walau mara 3 kwa wiki
▪︎ Pata muda mzuri wa kupumzika.
▪︎ Tafuta msaada/ushauri toka kwa wataalamu au wenye uzoefu na changamoto iliyokupata.

✨️Ukiweza kuzingatia haya na kuyafanyia kazi kwa uaminifu, basi utapata nafuu na kutoka kabisa kwenye hiyo changamoto.

Miili yetu ina uwezo wa kujiponya k**a itawekwa kwenye mazingira sahihi, na kupewa vitu sahihi.

💥Ni kipi kati ya haya kimegusa hisia zako? Tafadhali shirikisha wengine taarifa hizi yamkini ikamsaidia mtu mmoja mahali.

Kwa msaada zaidi unaweza kutupia kwa namba +255 754 364448 ama ukafanya booking ya kufika ofisini kwetu kuzungumza na mtaalamu.

17/10/2025

✨️Ili kushughulika na msongo ulioathiri afya yako. Kwanza ni muhimu sana ujue chanzo cha tatizo.

💥Kujua chanzo cha tatizo ni nusu ya suluhu ya tatizo hilo.

♦️Tabia mbaya za kuacha ni k**a hizi:
▪︎ Kunywa pombe sana ili kuondoa mawazo
▪︎ Kula ovyo hasa vyakula visivyo rafiki kwa afya (mf. Wanga uliokobolewa, vyakula/vinywaji vyenye sukari nying, vyakula vitokanavyo na maziwa n.k)
▪︎ Kutokupumzika mda wa kutosha
▪︎ Kutokufanya mazoezi

♦️Mifano ya mambo sahihi ya kufanya:
▪︎ Kula vizuri (vyakula vyenye virutubishi (madini na vitamini) muhimu ili kusupport mwili wako kupona kwa haraka.
▪︎ Punguza sana au acha kabisa pombe
▪︎ Fanya mazoezi walau mara 3 kwa wiki
▪︎ Pata muda mzuri wa kupumzika.
▪︎ Tafuta msaada/ushauri toka kwa wataalamu au wenye uzoefu na changamoto iliyokupata.

✨️Ukiweza kuzingatia haya na kuyafanyia kazi kwa uaminifu, basi utapata nafuu na kutoka kabisa kwenye hiyo changamoto.

Miili yetu ina uwezo wa kujiponya k**a itawekwa kwenye mazingira sahihi, na kupewa vitu sahihi.

💥Ni kipi kati ya haya kimegusa hisia zako? Tafadhali shirikisha wengine taarifa hizi yamkini ikamsaidia mtu mmoja mahali.

16/10/2025

✨️Every health challenge has a starting point if you can trace it.

💥Mara nyingi changamoto za kiafya zinazotupata na zinazohusishwa na mifumo ya maisha kuna mahali zinakua zimeanzia, na kwa kesi nyingi ni kutokana na mambo yanayotuzunguka kwenye maisha yetu ya kila siku. Mengi ya mambo haya huwa ni mabaya lakini na mazuri pia yapo. Ukisikiliza vyema video hii utanielewa.

✨️Hivyo basi wakati wowote unapokua unadeal na changamoto ya kiafya (a certain health condition) ni vizuri pia kufuatilia mwanzo wa tatizo hilo.
▪︎ Je ilianza kabla au baada ya jambo/tukio gani?
▪︎ Je ni wakati gani ulianza kusikia hali za tofauti mwilini mwako.
Maana ukiweza kugundua chanzo cha tatizo, basi una hakika ya kulipatia suluhu (solution). Wazungu wanasema know a root caurse of a problem is half way towards it's solution.

💥Ni rahisi kupatia suluhisho tatizo ambalo chanzo chake kibebainika. Kwani wakati unalishughulikia na ukaweza kupunguza au kuondoa kisababishi basi kwa hakika utafikia suluhisho endelevu.

✨️Changamoto yako wewe ilianzia wapi? Umeweza kugundua chanzo? Je unahitaji msaada wa kitaalamu juu ya namna ya kuitatua? K**a unapata kibali tuandikie hapo kwenye comments ama tuma ujumbe mfupi what's app kwa namba hizi hapa chini.

📍Ukitaka kujifunza zaidi ama una swali, karibu kuwasiliana nasi kwa namba +255 754 364448 ama fika ofisini kwetu Makumbusho. Gharama za consultations zitatozwa.


#

09/10/2025

✨️A Change begins with you!

Original Apple Cider Vinegars available at our office Makumbusho. More info in the bio☝🏽

Call/Wa: +255 758 394652 to order yours. Mikoani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa.

09/10/2025

✨️Original Apple Cider Vinegar from production source.✨️

💥Kinywaji kimoja chenye matumizi meengi na faida nyiingi, sasa kinapatikana ofisini kwetu katika ladha tofauti.

♦️Kwa mwenye changamoto ya kisukari inashauriwa kutumia -Apple Cider with Cinnamon.
♦️Kwa wenye changamoto za kwenye njia ya haja ndogo/via vya uzazi (wanawake) - Apple Cider with Cranberry.

✨️Ukipenda kujifunza zaidi kuhusiana na bidhaa hii, usisite kuwasiliana nasi kwa namba hizi; +255 754 364448.

Ikiwa unahitaji piga namba zilizopo hapo juu☝🏽. Mikoani pia tunatuma kwa uaminifu kabisa. Gharama za usafiri zitatozwa.

💪 ☺️

✨️One drink, multiple uses and benefits✨️
09/10/2025

✨️One drink, multiple uses and benefits✨️

07/10/2025

✨️Relax, Restore, Rejuvinate✨️

💥The Power of Healing Therapies💥

Please contact us to book your session. On this special week "Customer Service Week" we have a huge offer to all our Skin Servics. Get upto 15% off for combined services (ie. More than one skin service).

For inquiries Call/Wa: +255 758 394652

06/10/2025

✨️Unataka ngozi yako iwe na muonekano mzuri?? Basi ni vyema ukajiwekea utaratibu wa kufanya facial treatment walau mara moja kwa mwezi ikiwa uso wako hauna changamoto.

💥Angalizo: Mara zote zingatia sana bidhaa inayotumika kwenye ngozi yako. Kwani chochote unachopaka kwenye ngozi yako kina uwezo wa kupenya (kupitia matundu ya ngozi) kwenda kwenye damu yako hivyo kupelekea madhara mazuri au mabaya kwa afya yako.

✨️Call us for best Natural Skin Care Treatments
+255 758 394652

04/10/2025

✨️Self Care is not an expense, it's an investment.

04/10/2025

✨️Relax, Refresh, Rejuvinate✨️

Weekend Offer, 20% discount to all our Massage and Facial Services.

Book your session with us today, enjoy the offer.

Address

Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 21:00 - 18:00
Saturday 21:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Healthmatters 101_Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Healthmatters 101_Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram