12/05/2019
Mama zetu; sio tu mnastahili heshima bali afya njema na maisha marefu ili muone matunda ya juhudi na sadaka zenu.
Mnafanya juhudi kubwa kuwalisha wachapakazi wa taifa hili na wakati huo huo mkizilisha na kuhudumia familia zenu... Moto mkali, moshi, ushovu hivijawahi kuwafanya mfikiri mara mbili kuamka saa 11 alfajiri.
Tunawasisitiza kupata muda wa mapumziko, kunywa maji ya kutosha na kula mlo kamili. Vaeni viatu kuepusha ajali k**a kukanyaga moto na umakini mnapotumia vitu vyenye ncha kali...
Tunatambua mnauhitaji kuliko chochote na tuko tayari kuwahudumia mnapojisikia kiafya hamko sawa.
Happy Mother’s Day kutoka kwa watoto wenu .healthcenter
Copyrighter