BF SUMA Clinic

BF SUMA Clinic Brighter life better future

YAJUE MAGONJWA YA MOYO*Magonjwa ya Moyo ni magonjwa yanayoambatana na kuathiri moyo. Mara nyingi magonjwa ya moyo yanaam...
21/08/2021

YAJUE MAGONJWA YA MOYO*

Magonjwa ya Moyo ni magonjwa yanayoambatana na kuathiri moyo. Mara nyingi magonjwa ya moyo yanaambatana na mishipa ya damu kuwa na tatizo ambapo moyo hushindwa kufanya kazi, moyo hutegemea damu ambayo hubeba oxygen, madini, vitamins, kinga ya mwili, joto, homoni na vingine vingi.

Different-Problems-of-the-Heart.
*AINA ZA MAGONJWA YA MOYO*

*Zipo aina mbalimbali za magonjwa ya moyo hutofautiana japo yote huathiri moyo, nayo ni;*

•Ugonjwa wa moyo unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu (Coronary artery disease) Hili ni tatizo linalowakuta watu wengi, mishipa ya damu hupasuka na kuharibika hii hutokana na mishipa ya damu kuwa na uchafu na mafuta mengi na kufanya damu isipite vizuri

•Mapigo ya moyo kwenda tofauti (Heart Arrhythmias) Hii hutokea pale mapigo ya moyo kwenda taratibu isivyo kawaida au kwenda haraka isivyo kawaisda, pia mapigo ya moyo kwenda ovyo. Hii ni hatari sana na huua sana
Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure) Hii ni hali moyo hushindwa kufanya kazi yake k**a kupampu na kusambaza damu, kusambaza oxygen. Hii inaweza kutokea kwa mtu mwenye magonjwa k**a ugonjwa wa moyo wa misipa kuathirika, Shinikizo la damu, na magonjwa mengine

•Magonjwa ya moyo ya kuzaliwa (Congenital heart disease) Haya ni magonjwa ambayo wengi huzaliwa nayo, yanaweza kuwa ni baadhi ya kasoro katika mwili k**a baadhi ya chemba za moyo kuziba au kupasuka, oxygen kupita kwa shida na vinginevyo.

•Ugonjwa wa valvu na misuli ya moyo (Heart Valve Disease & Cardiomyopathy (Heart Muscle Disease)) Katika moyo kuna chema nne nazo zinapitisha damu na oxygen kutoka kwenye mapafu, valvu hufunguka na kufunga. Valvu na misuli ikiwa imepasuka na kuharibika husababisha tatizo la moyo.

•Moyo kutanuka. Hii hutokea pale damu ikiingia ndani ya moyo harafu mishipa ya kutoa damu ikiwa na tatizo ikashindwa kutoa damu nje ya moyo moyo utaanza kutanuka siku hadi siku. Kutanuka kwa moyo kunatokea usipotibu baadhi ya matatizo k**a shinikizo la damu, moyo kwenda mbio, valvu na misuli ya moyo n.k.

•Shinikizo la damu (B.P) ni shinikizo la damu yako kwenye kuta za mishipa yako kwani moyo wako unasukuma karibu na mwili wako. Unaweza kuwa na shinikizo la damu (shinikizo la damu) kwa miaka bila dalili yoyote.

•Mshtuko/ Shambulio la moyo (Heart Attack). Ni kifo cha sehemu ya misuli ya moyo inayosababishwa na kuzuiwa wa usambazaji wa damu. Amana zilizo na mafuta huunda kwa wakati, na kutengeneza alama katika mishipa ya moyo wakoIkiwa baadhi ya misuli ya moyo inakufa, mtu hupata maumivu ya kifua na kukosekana kwa umeme kwa tishu za misuli ya moyo.

•Chembe ya Moyo. Hii ni maumivu ya upande wa moyo maeneo ya kifua hutokea wakati unafanya kazi au hata k**a umekaa k**a ni yenye kukubuhu. Maumivu haya huambatana na kutokwa jasho na kukosa hewa. Hutokana na moyo kukosa damu ya kutosha.

*CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO*

Magonjwa ya moyo hutokea pale ambapo moyo huathiriwa na kuharibiwa kwa vitenda kazi vyake. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata magonjwa ya moyo nayo ni pamoja na;

•Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P)
•Kuvuta sigala
•Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
•Kisukari
•Kukaa sehemu kwa mda mrefu bila kuufanyisha kazi mwili
•Umri
•Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
•Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
•Historia magonjwa yanayoambatana na moyo katika familia

*DALILI ZA UGONJWA WA MOYO*

Mara nyingi dalili hujionesha wakati mtu kakaa na ugonjwa kwa mda mrefu kidogo, ila kuna zingine zinatangulia na mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia. Uonapo baadhi ya dalili fanya mawasiliano.

•Moyo kwenda mbio (Moyo kudunda kwa nguvu isivyo kawaida )

•Uchovu uliopitiliza, mwili kuwa dhaifu na kuchoka haraka hata kwenye shughuri ndogo

•Maumivu ya kifua hasa yanayotembea mpaka kwenye mabega, shingo au taya

•Kushindwa kulala vizuri hasa kushtuka usingizini

•kuhisi k**a unakabwa na kukosa pumzi

•Tumbo kujaa, kichefuchefu na kutapika

•Kukosa pumzi au kushindwa kupumua vizuri hasa unapolala chali

•Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

*JINSI YA KUEPUKANA NA MAGONJWA YA MOYO*

√Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

√Usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

√Usitumie chumvi mbichi au chumvi nyingi

√Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)

√Balansi usito wako

√Usivute sigara

√Punguza au acha kunywa pombe

√Punguza mawazo

√Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio
vyakula vyenye kemikali

√Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 8/9

*TIBA YA MAGONJWA YA MOYO*
Magonjwa ya moyo yanatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile tunacho waeleza.

*Faida za Refined Yunzhi Essence*Yunzhi (Turkey -tail mushroom) ina 👇Ina protein nyingi  Inalipidi nyingi  Ina polysacch...
11/08/2021

*Faida za Refined Yunzhi Essence*

Yunzhi (Turkey -tail mushroom) ina 👇
Ina protein nyingi Inalipidi nyingi Ina polysaccharides

Kirutubisho hiki Cha refined yunzhi essence kimetengenezwa chini Ya *GMP* (good manufacturing practices)

*Faida Zake*

● Inaodoa Hari ya kuugua kutokana na kinga ndogo za mwili
● Inaongeza ufanisi wa *ini na mapafu*
● Inapunguza madhara ya mionzi (chemotherapy)
● Inaboresha Nguvu na Afya ya Mwili
● Inaongeza hamu ya kula
● Inadumisha Afya ya Mwili na Akili.
● Inarudisha na kudimisha kinga za mwili kwa waliougua mda mrefu.
● Ina Polysaccharide K (PSK) and Polysaccharide Peptide (PSP) ambazo husaidia kuondoa seli zenye vimelea vya saratani na kuzuia visisambae mwilini.
● Inasawazisha homoni mwilini.
● Inapunguza Maumivu
● Inabolesha Muonekano wa Ngozi yako.
● Hutuliza homa ya typhoid
●Huondoa uvimbe kwenye kizazi ikifanya kazi na pure and broken gonadema spores
● Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
● Husaidia kupevusha mayai kwa mwanamke

*Nani anaweza kutumia Refined Yunzhi Essence*

● Wenye kinga ndogo za mwili.
● Wanaofanyiwa chemotherapy
● Waliougua Mda mrefu
● Wagonjwa wa saratani.
● Wenye matatizo ya homoni

*Matumizi yake*
● Vidonge 2 mara mbili kwa siku nusu saa kabla ya kula

● Dozi mala 2 kwa wanatibiwa na mionzi (chemotherapy) kisha wanaendelea kwa dozi ya kawaida wik 6 mbele.

Ushuhuda wa mgonjwa kutoka Arusha akiyetumia Bidhaa Zetu na kupata matokeo ambayo hakutarajia .         life Better futu...
05/08/2021

Ushuhuda wa mgonjwa kutoka Arusha akiyetumia Bidhaa Zetu na kupata matokeo ambayo hakutarajia .
life Better future #
Wasiliana nasi kupitia No
. WhatsApp No :- 0710010026
Calling No :- 0672548444

Bf suma clinic imekuletea Bidhaa pendwa yenye kukuondolea maumivu ya mgongo,kichwa na viungo pia hutibu mafua kwa haraka...
27/07/2021

Bf suma clinic imekuletea Bidhaa pendwa yenye kukuondolea maumivu ya mgongo,kichwa na viungo pia hutibu mafua kwa haraka .
Cool Roll inapatikana kwa Tsh 10000 tu.
Wasiliana nasi kupitia namba
WhatsApp No:- 0710010026
CALLING No :- 0672548444

12/07/2021

Kwa mtaji wa Tsh 46000/= tu . Unaweza kumiliki Biashara yako na kutimiza ndoto zako . Karibu sana .
Wasiliana nasi kupitia namba :-
WhatsApp No :- 0710010026
Calling No :- 0672548444

*Haya Ndo Maajabu Ya Consitrelax Solutions Katika Mfumo Wa Chakula.....*Nini maana ya consitrelax solution?Hiki ni kirut...
09/07/2021

*Haya Ndo Maajabu Ya Consitrelax Solutions Katika Mfumo Wa Chakula.....*

Nini maana ya consitrelax solution?
Hiki ni kirutubisho kinachoitwa na tambulika k**a *Consitrelax prebiotics*
Prebiotics ni kitu katika chakula ambapo hakiwezi kumeng'enywa ila kazi yake ni kuongeza uhai wa bacteria wazuri kwenye mfumo wa chakula
Prebiotics ni k**a mbolea kwenye bustani ya bacteria wazuri katika utumbo mwembamba
*Viambata vya Constirelax solutions*
☆ Fructooligosaccharide (FOS)
☆Radix Astragali

*Faida Zake Kiafya*
● Huondoa hali ya kupatwa na choo Kigumuu

●Huondoa bawasiri bila upasuaji ikitumika na novel depile

●Huzuia saratani ya utumbo

● Husaidia kuondoa mafuta mabaya katika tumbo

●Huboresha muonekano wa ngozi yako

●Husaidia kuondoa sumu mwilini

● Huondoa shida ya vidonda vya tumbo ikitumika na Antidiars pill

● Husaidia mfumo wa chakula kumeng'enya chakula vyema

● Husaidia kupunguza uzito

● Husaidia kuondoa harufu mbaya ya kinywa

● Husaidia kuondoa mvurugiko wa tumbo

● Husaidia mwili kupata virutubisho mhimu kutoka kwenye chakula
NB
Mfumo wa chakula ukikaa vibaya kila kitu kiko vibaya katika mwili wako
Kwani asilimia kubwa ya dawa /Virutubisho viinapitia katika mfumo wa chakula .
*Matumizi*

1 x 2 nusu saa baada ya kula.

Wasiliana nasi:-
WhatsApp No:- 0710010026
Calling :- 0672548444

*Faida Za Antidiarr Pills..*Nini Maana Ya Antidiarr pills  ?Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kiasili na ni maarufu ...
09/07/2021

*Faida Za Antidiarr Pills..*
Nini Maana Ya Antidiarr pills ?
Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kiasili na ni maarufu kwa kuitwa *Magical pills for Diarrhea*
*Viambata Vyake*👇
☆ Creosote
☆ Cortex phellodendri chinensis
☆ Cortex cinnamomi
☆ Flos caryophylli
☆ Pericarpium citri reticulate
☆ Menthol
☆ Radix et rhizoma glycyrrhizae.
Kwa ujumla wa viambata hivi kirutubisho hiki kinafaida kubwa katika mwili
*Faida Kiafya Katika Mwili*.

● Huondoa mvurugiko wa tumbo

●Huondoa kwa haraka maumivu makali ya tumbo

●Inazuia na kuondoa hali ya mtu kuhara

● Humsaidia mtu anayejisikia kichefuchefu na kutapika

● Huzuia na kuondoa hali ya tumbo kujaa gesi

● Husaidia kupunguza maumivu ya jino

● Husaidia kuondoa vidonda vya tumbo ikitumika na Constirelax prebiotics

● Husaidia Kupunguza maumivu ya period

●Huimarisha zaidi mfumo wa chakula
*Matumizi*

1. Wakubwa ni 4 x 3

2. Watoto wadogo miaka 5 - 10 ni 2 x 3

3. Watoto wadogo miaka 11 - 15 ni 3 x 3

02/07/2021
02/07/2021

Bf suma clinic ndio mkombozi wa Tatizo lako popote ukiwa na tiba lishe bora na zenye uhakika .
Wasiliana nasi kupitia
WhatsApp No:- 0710010026
Au piga No : 0672548444

Address

Mafinga
51401

Telephone

+255710010026

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BF SUMA Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to BF SUMA Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram