DAWA ASILI ZA Kissunah

DAWA ASILI ZA Kissunah Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DAWA ASILI ZA Kissunah, Medical Service, Makambako.

UKITAKA DAWA OMBA DAWA ULIYO IONA HAPO SIHITAJI MASWALI NA USUMBUFU
huu ni ukurasa unao husiana na madawa ya kissunah na upatikanaji wake kiurahisi kabisa ktk mikoa ya nyanda za juu kusini iringa mbeya
TUNATUMA POPOTE NCHINI TANZANIA

UMEPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUSIMAMISHA KWA MDA MREFU DHAKARI YAKOTUMIA MCHANGANYIKO WA VIUNGO HIVI UTANISHUKURU
14/10/2025

UMEPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUSIMAMISHA KWA MDA MREFU DHAKARI YAKO
TUMIA MCHANGANYIKO WA VIUNGO HIVI UTANISHUKURU

FAIDA Za UBANI ukichanganywa na manemane huleta amani na utulivu katika fikra ya mtu ikiwa ni pamoja na kufukuza mizuka ...
24/05/2025

FAIDA Za UBANI
ukichanganywa na manemane huleta amani na utulivu katika fikra ya mtu ikiwa ni pamoja na kufukuza mizuka mibaya katika nyumba na ilikuwa ni zawadi kwa Yesu ilipochanganywa na manemane na kwa Abraham au Ibrahim ilikuwa ni pozo la fikra kwa harufu nzuri na kukuza imani​
kwa mwenye maradhi ya mashetani akijifunika moshi wake na kuuvuta kwa siku 7 basi humuondoshea na kuwa hhuru

husaidia katika kuondoa mafua na baridi mwilini ukichomwa kwa kujifusha

huponya meno ukitafunwa k**a jjojo

huongeza ndoto nzuri wakati wa uusingizi

huponya kidonda chenye kuvuja damu na kufuta kovu lake

Kibiriti upeleleHutibu magonjwa sugu ya ngozi na kumaliza tatizo kabisa👉Vipele vya ndevu vilivyo komaana kuleta weusi👉vi...
25/04/2025

Kibiriti upelele
Hutibu magonjwa sugu ya ngozi na kumaliza tatizo kabisa
👉Vipele vya ndevu vilivyo komaana kuleta weusi
👉vipele kichwani ,mba na mapunye
👉mapunye na miwasho sehemu za siri
👉Fangasi miguuni na chunusi
👉muwasho wa ngozi na vidonda

Kibiriti upele ni Dawa ya asili inayotibu magonjwa ya ngozi k**a vile::::*Vipele vya ndevu na muwasho...* Vipele chini y...
28/11/2024

Kibiriti upele ni Dawa ya asili inayotibu magonjwa ya ngozi k**a vile::::
*Vipele vya ndevu na muwasho...
* Vipele chini ya kisogovinavyotoa usaha
* Vipel vya kichwa na mmba unaotoa ungaa
* Muwasho sehemu za siri pamoja na fangasi za miguuni zinazotoa harufu
*Chunusi za usoni mashilingi mapunye kwa wototo na wakubwa pia
*kukausha vidonda vinavyotoa maji na usaha
* Vipele vinavyotoka Baada ya kunyoa na mashine au wembe kichwani na kidevuni:::
*****Dawa hii kwa waliotumia wamepona kabisa na ngozi zao zimerudi k**a zamanii haina madhara ...Matokeo utayaona kuanzia 3-7. Matumizi paka mara mbili kwa siku chunusi paka mara moja tu::

MAPENZI MRUDISHE MKEChukua mshumaa mwekunduUbani makaNa miski Ifikapo saa 6-7 koga vizuri Jipake miski unukievaa nguo sa...
09/08/2024

MAPENZI MRUDISHE MKE
Chukua mshumaa mwekundu
Ubani maka
Na miski
Ifikapo saa 6-7 koga vizuri
Jipake miski unukie
vaa nguo safi tandika zulia lako chini washa mishumaa myekundu au ya pinki mitano
Chukua chetezo choma ubani
Kaa kwa kutulia fanya manuizi yako
Ya kuomba mke arudi
inshaalah mke wako atarudi na upendo mkubwa

Watu walio pooza Maumivu ya mgongo baada ya kujifunguaMaumivu ya mgongo ya kawaidaMaumivu ya misuliWalio pararaiziGanzi1...
09/06/2024

Watu walio pooza
Maumivu ya mgongo baada ya kujifungua
Maumivu ya mgongo ya kawaida
Maumivu ya misuli
Walio pararaizi
Ganzi
10000 Tshs Tu

MAFUTA YA FIMBO YA MUSA k**a unahisi unasumbuliwa na uchawiAu jini hapa ndo mwisho wa matatizo👉kwa wanao hitaji kuwanasa...
09/06/2024

MAFUTA YA FIMBO YA MUSA
k**a unahisi unasumbuliwa na uchawi
Au jini hapa ndo mwisho wa matatizo
👉kwa wanao hitaji kuwanasa wachawi
Ila uwe na roho ya ujasili unaweza kumuona anaekuroga ni nduguyo wa karibu
MANUIZI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA

Maradhi Yanayotibiwa na Habbat Soda BLACK SEEDYafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo na magonjwa ambayo yanaweza kut...
15/05/2024

Maradhi Yanayotibiwa na Habbat Soda BLACK SEED

Yafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo na magonjwa ambayo yanaweza kutibika kwa kirahisi kwa kutumia Habbat-Sawdaa.

Vipele (chunusi) Na Ngozi:
Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha s**i ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Upara (Alopeshia):
Sugua mafuta ya Habbat-Sawdaa katika mabaka yanayokusumuba.

Pumu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa iliyochemshwa katika maji ya yaliyochemshwa kisha unywe moto.

Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini):
Changanya asali pamoja na ¼ (robo) kijiko cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza kunywa wakati wa asubuhi kabla ya kufungua kinywa.

Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa iliyochemshwa katika maji ya yaliyochemshwa kisha unywe moto.

Kibofu cha Mkojo/Figo:
Kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa pamoja na asali kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Changanya vikombe viwili vya Habbat-Sawdaa iliyosagwa na ½ (nusu) kikombe cha asali safi. Kunywa kijiko kimoja cha mchanganyiko pamoja na kikombe kimoja cha maji ya moto kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Mchanganyiko unaweza kukaa kwa siku 15 na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Jiwe La Figo:
Kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyochanganwa pamoja na gilasi (bilauri) moja ya asali, vitunguu saumu vitatu vilivyosagwa na karafuu. Changanya vitunguu saumu pamoja na asali na Habbat-Sawdaa. Kunywa kijiko kimoja kabla ya kula chakula na kwa pendekezo kula limau (bila ya kumenywa). Rudia haya kwa wiki moja Insha-Allah jiwe litaondoka.

Mshindwe nyie tu huduma nyingine hiyo
19/08/2022

Mshindwe nyie tu huduma nyingine hiyo

Fimbo ya musa kwa wanao ijua hii watawasimulia
02/08/2022

Fimbo ya musa kwa wanao ijua hii watawasimulia

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya ...
21/09/2021

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

Leo nitakuletea mafuta ya kitunguu saum hiki ni tiba sana ingawa si watu wengi wanayafahamu, yanapatikana maduka yote ya...
28/07/2021

Leo nitakuletea mafuta ya kitunguu saum hiki ni tiba sana ingawa si watu wengi wanayafahamu, yanapatikana maduka yote ya asili iwapo utayahitaji na
k**a utakuwa hukunielewa hapa unaweza kupata matumizi yake sahihi pale utakapokwenda kuyanunua kwa wataalamu wanaoyauza.
Mafuta haya ukiyatumia ipasavyo yanao uwezo wa kutibu ugonjwa wa mafua, kikohozi kilichoshindikana, yanauwezo wa kutibu fangasi za aina yote na magonjwa mengine mengi.

Kwa wanaopunguza mafuta mwilini
Asubuhi unachukua glasi yako ya maji ya kunywa ambayo umeshayachemsha, yakiwa na uvuguvugu tayari kwa kunywa weka kijiko kimoja kikubwa cha
kitunguu swaumu kunywa kila siku asubuhi. Kila mara jaribu kupima uzito utaona matokeo kwani ni tiba nzuri sana mbali na kupunguza mafuta yasiyohitajika mwilini pia yana uwezo wa kupunguza uzito kwa kiasi chake.
Kwa mtu aliyebanwa na mafua
Chukua kitambaa kisafi loweka kwenye mafuta kiasi ni mafuta yenye harufu kali ambayo unaweza usiivumilie lakini kitiba yanatibu kwa haraka sana.
K**a una uwezo wa kuweka kwenye maji yaliyochemka na kujifukiza, husaidia kufungua pua na kukutibu kikohozi ambacho huletwa na mafua.
Kwa akina mama wanaotaka kurudisha umwari wao
Kwa wale akina mama ambao wamekuwa na tabia ya kutaka kurudisha umwari wao, hasa wale waliozaa na wale ambao wanahisi hawako sawa mafuta haya yanasaidia iwapo utapaka hasa wakati wa kulala.

Kwa kutibu fangasi
Fangasi wapo wa aina nyingi hapa niongelee wa miguuni na wa sehemu za siri.
Mafuta haya yanatibu kwa asilimia kubwa tatizo la fangasi k**a unao wa miguuni, chukua mafuta haya yapashe kidogo yaache yapoe, osha miguu yako ikaushe mpaka katikati ya vidole kisha chukua mafuta ya kitunguu swaumu paka mpaka utakapoona umepona.

Kwa walio na fangasi wa sehemu za siri hasa akina mama, chukua maji ya vuguvugu, weka mafuta hayo kiasi cha vijiko viwili kwenye maji nawa na maji hayo sehemu za siri unaweza kufanya hivyo mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni

Maumivu ya s**io
K**a unasumbuliwa na s**io mafuta haya ni tiba nzuri, chukua mafuta yapashe yaache yapoe kabisa, kisha dondoshea tone moja kwa mtoto na kwa wakubwa matone 2-3, k**a huna mafuta haya unaweza kuchukua mafuta ya mzaituni ukayapasha kidogo nayo uache yapoe kisha changanya na vipande viwili vya vitunguu swaumu udondoshee k**a mafuta hayo, fanya hivyo mpaka utakapopona
Kumbuka
Mafuta ya kitunguu swaumu ni makali kidogo kwa wale wenye ngozi ambayo haiendani, unashauriwa kuchukua tahadhari. Ukiona hayakufai unashauriwa kuacha mara moja.
Kumbuka kwenda hospitali kabla ya kutumia tiba hizi ili kugundua tatizo ulilonalo, kuna watu wengine wanapenda kutumia tiba hizi kwa kusoma hapa tu kila mgonjwa anashauriwa kufika hospitali na kubaini tatizo alilonalo.
Hapa ni msaada tu, k**a unahisi una tatizo kubwa waone watabibu wa tatizo hilo na tiba nilizoelezea zitakusaidia.

Address

Makambako

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAWA ASILI ZA Kissunah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram