IJUE AFYA

IJUE AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IJUE AFYA, Medical and health, Mbeya city, Mbeya.

Jifunze na tambua masuala ya Uzazi pamoja na Afya ya mfumo Wa Uzazi: matatizo na magonjwa yanayoshambulia mfumo Wa Uzazi yaani via vya uzazi kwa wanawake, bila kusahau Afya ya mtoto, lishe bora na maendeleo ya ukuaji

"Obstetrics & Gynaecology"

31/05/2022

Elimu ya uzazi ni muhimu Sana kwa jinsia zote mbili, baadhi ya matatizo mengi ya mfumo wa uzazi kwa wanawake husababishwa na wanaume, ingawa badhi ya wanaume huwa mabali na wengine hukataa kabisa kujihusisha na suala la kujifunza Afya ya uzazi na kudhania kuwa ni jukumu la wanawake pekeyao, kitu ambacho siyo kweli Wala si haki na hii ni kutokana na kukosa Taarifa sahihi, ushauri ama elimu Bora ya uzazi. Tambua jukumu ni letu sote kwa Afya Bora ya uzazi

Address

Mbeya City
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IJUE AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to IJUE AFYA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram