K's Hospital Limited

K's Hospital Limited Your health, Our smile

Menejimenti ya utumishi tunawatakia  salamu za kheri ya siku kuu ya Krismasi na mwaka mpya β„οΈπŸŒ²πŸŒ²πŸŒ²πŸŒ²πŸŽ…πŸ€ΆπŸ§‘β€πŸŽ„β˜ƒοΈβ˜ƒοΈβ„οΈπŸ’šπŸ€β€οΈAfya yak...
25/12/2024

Menejimenti ya utumishi tunawatakia salamu za kheri ya siku kuu ya Krismasi na mwaka mpya β„οΈπŸŒ²πŸŒ²πŸŒ²πŸŒ²πŸŽ…πŸ€ΆπŸ§‘β€πŸŽ„β˜ƒοΈβ˜ƒοΈβ„οΈ
πŸ’šπŸ€β€οΈAfya yako tabasamu letu πŸ’šπŸ€β€οΈ

Happy Tanzania Independent Day πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
09/12/2024

Happy Tanzania Independent Day πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ’šHappy New Month πŸ’šYour Health is Our Smile
01/12/2024

πŸ’šHappy New Month πŸ’š
Your Health is Our Smile

Menejimenti ya watumishi  tunatoa poleπŸ™πŸ˜žπŸ™ Kwa Ndugu jamaa na familia zilizokumbwa na maafa kutokana na kuporomoka Kwa je...
18/11/2024

Menejimenti ya watumishi tunatoa poleπŸ™πŸ˜žπŸ™ Kwa Ndugu jamaa na familia zilizokumbwa na maafa kutokana na kuporomoka Kwa jengo la kariakoo
Pia tunaombea πŸ™ πŸ™ zoezi la oukoaji Kumalizika salama

πŸ’šAfya Yako Tabasamu Letu πŸ’š      Wasiliana nasi mda wote masaa 24 ☎️ 0745153706 au Piga bure 0800750289
26/10/2024

πŸ’šAfya Yako Tabasamu Letu πŸ’š
Wasiliana nasi mda wote masaa 24
☎️ 0745153706 au Piga bure 0800750289

Je Unasumbuliwa na maumivu ya viungo vya Mwili?Karibu  tunatoa huduma ya Tiba ya viungo Kwa Rika zote.Tunapatikana Mbeya...
24/10/2024

Je Unasumbuliwa na maumivu ya viungo vya Mwili?
Karibu tunatoa huduma ya Tiba ya viungo Kwa Rika zote.
Tunapatikana Mbeya,mafiat
Wasiliana nasi kupitia 0745153706 au Piga bure 0800750289
Afya Yako, Tabasamu Letu.

Wasiliana nasi mda wote masaa 24 ☎️ 0745153706  πŸ’šAfya Yako Tabasamu LetuπŸ’š
23/10/2024

Wasiliana nasi mda wote masaa 24 ☎️ 0745153706
πŸ’šAfya Yako Tabasamu LetuπŸ’š

Je, unatumia BIMA au CASH karibu   upate matibabu na ushauri kutoka Kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya sikio ,pua na koo....
18/10/2024

Je, unatumia BIMA au CASH karibu upate matibabu na ushauri kutoka Kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya sikio ,pua na koo.
TUNAPOKEA BIMA NA CASH
Wasiliana nasi mda wote masaa 24
0745153706 / 0800750289
πŸ’šafya yako tabasamu letu πŸ’š

Kwa  Huduma ya matibabu na Ushauri wa Magonjwa Ya ndani Yani Presha,Ini, Moyo, Figo, Stroke, Sukari.Pamoja na Magonjwa y...
17/10/2024

Kwa Huduma ya matibabu na Ushauri wa Magonjwa Ya ndani Yani Presha,Ini, Moyo, Figo, Stroke, Sukari.
Pamoja na Magonjwa yote yakuambukizwa n.k
Karibu Kwa uhakika wa afya.

Kwa mawasiliano piga
0745153706 au 0767559697
Au Piga bure 0800750289

πŸ’šAfya yako tabasamu letuπŸ’š

 Tunawatakia watanzania wote  Happy Nyerere Day 2024 ya mhasisi Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere
14/10/2024

Tunawatakia watanzania wote Happy Nyerere Day 2024 ya mhasisi Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Kwa Matibabu pamoja na Ushauri Wa uhakika na ufasaha Kuhusu matatizo ya  Macho , Tafadhali kutana na daktari wa macho  Y...
12/10/2024

Kwa Matibabu pamoja na Ushauri Wa uhakika na ufasaha Kuhusu matatizo ya Macho , Tafadhali kutana na daktari wa macho
Your Health is Our Smile

Kwa ushauri na matibabu ya kinywa ,kutana na daktari wa afya ya  kinywa     πŸ’šπŸ’š     Wasiliana nasi masaa 24 Kwa namba 074...
09/10/2024

Kwa ushauri na matibabu ya kinywa ,kutana na daktari wa afya ya kinywa
πŸ’šπŸ’š

Wasiliana nasi masaa 24
Kwa namba 0745153706 /0800750289

Address

Mafiati Mbeya
Mbeya
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when K's Hospital Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to K's Hospital Limited:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category