25/09/2022
🌿DALILI ZA MVURUGIKO WA MFUMO WA HOMONI
🌸ukavu uken
🌸Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
🌸Kutoa jasho usiku kusiko kawaida
🌸Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.
🌸Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
🌸Siku za hedhi kubadilika badilika🌸Kukosa hedhi kwa muda mrefu.
🌸Kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
🌸Uchovu wa mara kwa mara.
🌸Hasira za mara kwa mara.
🌸Kukosa usingizi.
🌸Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.
🌸Mzio wa vyakula(allergy) kuchagua chagua vyakula.
🌸Kuongezeka tumbo na nyama uzembe.
🌸Kuharibika kwa ngozi (chunusi na vipele)
🌸Maumivu ya viungo.
🌸Upungufu wa nywele kichwani
Kusahau sana.
🌸kuwa na hamu ya vyakula au vinywaji vya viwandani.
🌸Kupata hedhi wakati wa ujauzito
🌸Msongo wa mawazo.
🌸Kutopata choo kwa wakati
🌸Kusinyaa au kupauka kwa ngozi.
🌸Maumivu ya kichwa mara kwa mara.
🌸Matiti kutoa maziwa ili Hali sio mjamzito.
🌸Kuhisi na kupata Dalili zote K**a mjamzito wakati hauna ujauzito.
👉 Watu wengi wanasumbuliwa na matatizo k**a hayo yawezekana wewe ni miongoni mwao au una ndugu jamaa na rafki wanasumbuliwa na ili tatizo. Tupigie *0743156162* kwa suruhisho la tatizo lako