04/04/2022
-Baada ya kutolewa/kumwagwa mbegu za kiume huanza kuogelea kwenye mfereji wa uzazi wa mwanamke zikilielekea yai ili ziweze kutungisha mimba.Uwezo wa mbegu za kiume katika kuogelea kwake hutegemea wingi wa nguvu inayoziongoza kufanya hivyo.
-Tofauti na sehemu nyingi sana za mwili ambazo hutumia glucose k**a chanzo kikuu cha nguvu zake,mbegu za kiume hutumia sukari za FRUCTOSE k**a chanzo chake kikuu cha nguvu.Wingi wa nguvu hizi ndio utakaoamua kasi ya kuogelea pamoja na uimara wa mbegu hizi katika kupambana na mazingira magumu yaliyopo kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke. Kila mwanamme anayetaka kuimarisha afya yake ya uzazi ni lazima atumie vyakula vilivyo na fructose kwa wingi mfano asali,vyakula vyenye mchanganyiko wa syrup,maembe,apples,machungwa,ndizi,komamanga na nanasi.
βͺοΈPia vinaweza kutumika k**a juisi ukiachilia mbali ulaji wa kawaida k**a matunda.Hii ni baadhi ya mifano michache tu ya vyakula,lakini ili kurahisisha ufafanuzi tunaweza kufupisha kwa kusema kuwa aina hii ya sukari hupatikana kwenye vyakula karibia vyote vya asili (hasa matunda)
*NB:Kama unasumbuliwa na tatizo la mbegu za kiumr na nguvu za kiume kiujumla tumia C24/7 na kahawa lishe upone tatizo hilo*