06/06/2022
Simba Sc
Tunafurahi kuitangaza kampuni ya Fitogether kuwa mshirika wetu wa vifaa vya kufatilia viwango wa wachezaji (electronic performance monitoring system). Vifaa vya kampuni hii tutavitumia wakati wa mazoezi na kwenye mechi. Kampuni ya Fitogether imethibitishwa na FIFA na vifaa vyake vinatumiwa na zaidi ya timu kubwa za mpira wa miguu 320 duniani kote. .football