21/06/2025
Qarina Untha.
Kwanza cha kufahamu kuhusu mili yetu kila binadamu unaemjua wewe anae jini wake ambae toka unazaliwa huyo jini yupo nae paka siku atakae kufa.
Hii haijalishi akili yako inakubali au inakataa ila Qarina unae mwilini mwako. Qarina huyu huwa anafanya vitu vingi sana vinavyokuhusu wewe na viumbe wengine kiroho.
Kwa lugha nyepesi Jini huyu ni k**a kinasa taarifa na kitoa taarifa za kiroho kwako na mlinzi. Sasa Qarina huyu anaweza kuwa mwanamke mke au mwanaume. Leo tumzungumzie huyu mwanamke.
Kuna wakati huyu Qarina anaweza kuwa tatizo kwa mtu yaani mtu akasumbuliwa na Qarina wake mwenyewe kiroho. Hii inatokana na namna unavyoishi.
Mfano ukiwa unafanya vitu ambavyo havimpi nguvu Qarina wako kukupambania zaidi basi anakuwa dhaifu na wewe inakuwa rahisi zikija vita za kiroho kushambuliwa na kuharibikiwa.
Sasa Qarina akiwa thaifu nawe unakuwa dhaifu kwenye nguvu za kiroho paka kwenye maisha ya kawaida. Sasa mtu mwenye Qarina wa k**e rahisi kuandamwa na mashambulizi.
Huyu Qarina wa k**e akishambuliwa zaidi nae hubadalika akawa k**a adui kwako yaani anakusababishia matatizo. Njia ya kumfanya awe sawa kwasababu hatoki ni mtu kutafutiwa tiba ya kumuweka sawa Qarina wake.
DALILI YA KUWA Qarina wako ana shida.
1Hufanikiwi kwa lolote.
2 Mwili wako kutokuwa sawa.
3 Kuota ndoto za kuonewa sana.
4 Ukiingia kwenye mambo yanaharibika. Nk
Hivi ndivyo Qarina anavyokuwa jini huyu hatoki hata uwende kwa mganga gani hawezi kumtoa ila hurekebishwa tu akawa sawa k**a hayupo sawa.
Je wewe Qarina wako yuko sawa?.