08/10/2025
K**a wewe ni dada wa kazi, changamoto kubwa ni kujua familia ambazo kweli zinahitaji msaada na ziko tayari kulipa kwa heshima.
House Help App inakuunganisha moja kwa moja na familia zilizo tayari kutoa ajira. Hii inaondoa haja ya kutangatanga au kutegemea madalali.
Jiandikishe kwa shilingi 10,000 kupitia link kwenye bio na uanze safari ya ajira yenye heshima na uhakika.