19/01/2022
KUPONA KWA U.T.I SUGU
MSHAURI MAKINI 0692202979
U.T.I ni kifupi cha maneno “Urinary Tract Infection”, ikimaanisha ni maambukizi katika njia ya mkojo. Maambukizi huweza kuwa kwenye mirija ya mkojo, kibofu, na ikiwa sugu zaidi huweza kuathiri mirija ya juu ya figo na figo zenyewe.
Viashiria vinavyoonyesha uwepo wa maambukizi ni; Maumivu makali wakati wa kukojoa, Kujisikia hali ya kuchomachoma kwenye kibofu wakati wa kukojoa, Kujisikia kukojoa mara kwa mara na kutoa mkojo mdogo sana, Maumivu ya misuli, maumivu chini ya tumbo (Chini ya kitovu), Mkojo kuwa mwekundu au wa pink (dalili ya damu kwenye mkojo) na unaonuka harufu kali, Maumivu ya nyonga kwa wanawake na wakati mwingine kushindwa kujizuia mkojo, Maumivu ya mgongo wa chini, Homa kali na uchovu, Mwili kutetemeka na kutapika, Kusikia kichefu chefu na kupatika, Maumivu ya kiuno, Kuwashwa sehemu za siri, Kuhisi maumivu wakati wa tendo na kusikia kuwa moto baada ya tendo, Kupata vidonda sehemu za siri, Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa nje wa sehemu za siri, Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.
Visababishi vya U.T.I; Pamoja na kwamba bacteria aina ya E.coli na baadhi virusi na fangasi ndio husababisha U.T.I lakini visababishi vingine ni; Ni Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai kwa mwanamke kipindi cha ujauzito na kukoma kwa hedhi, Upungifu wa kinga mwilini, Kukosa usingizi (stress), Vidonda sehemu za siri, Kuweka marashi sehemu za siri, Watu wanaougua kisukari, Mazingira ya joto na kuvaa nguo nzito za ndani (Hutengeneza mazingira ya fangasi kuzaliana).
Athari kuu za U.T.I ni; Kupatwa kwa ugonjwa wa P.I.D, maambukizi katika via na kupelekea ugumba.
Kwa hiyo ipo haja ya kuchukua hatua za maksudi ili kudhibiti U.T.I na athari zake.
MWANAPORI tunayo dawa ya mimea iliyofanyiwa utafiti na kuthibitika kutibu U.T.I ya
kawaida na U.T.I sugu.
NDAASE ni dawa ya mimea asilia inayoua bacteria wanaosababisha UTI na kuponyesha kabisa UTI, pamoja na changamoto zinazosababishwa na UTI ikiwemo fangasi n.k. Na haina madhara kwa mtumiaji.
MAWASILIANO: Piga 0692202979 au WhatsApp +255692202979