Stay Health And Enjoy Life

Stay Health And Enjoy Life Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Stay Health And Enjoy Life, 679 Babati, Mbulu.

Maintain health with our products Contact 0789360404
08/02/2017

Maintain health with our products
Contact 0789360404

Aloe first spray Ni bidhaa nzuri kuongezwa kwenye kisanduku cha huduma ya kwanza (Aloe first ina pooza maumivu hivyo ni ...
06/02/2017

Aloe first spray
Ni bidhaa nzuri kuongezwa kwenye kisanduku cha huduma ya kwanza (Aloe first ina pooza maumivu hivyo ni bidhaa nzuri kupulizia kwenye miguu baada ya kunyoa vinyweleo (leg waxing)

Pia ina beepropolis ambayo ni antibiotic ya asili, Aloe vera gel ya asili yenye enzymes, amino acids, madini na Vitamin.

Husaidia matatizo ya ngozi, vipele vya joto, mikato, malengelenge, michubuko, mikauko na mipasuko ya ngozi.

Ni rahisi kutumia hata k**a ni sehemu ya maumivu makali kwa kuwa kwa kuwa inanyunyizwa. Husaidia kuondoa miwasho kwenye nywele, kukinga nywele na athari za jua na chlorine.

Husaidia kuondoa majeraha ya moto, surua, kutokwa damu, kung'atwa na wadudu, sehemu zilizoshonwa, kujikata na kuongeza unyevu kwenye nywele.
Kwa maelezo zaidi 0789360404

Hey dear nzima? Pole na majukumuJe ulishawahi kutumia 25th edition perfume? Hii ni perfume inayotokana na maua mbalimbal...
19/11/2016

Hey dear nzima? Pole na majukumu

Je ulishawahi kutumia 25th edition perfume?

Hii ni perfume inayotokana na maua mbalimbali k**a Cactus flower, sparking yellow freesia, Rose petals, star jasmine, white lily na Magnolia.
Pia yameongezwa cherry wood, skin musk na patchouli ambazo kwa ujumla zinaleta harufu nzuri iliyotulia na inadumu kwa muda mrefu.

Haina harufu kali inayokera
Haina allergy
Haichafui nguo.

Karibu Sana
#
Kwa mawasiliano zaid piga 0789360404

Address

679 Babati
Mbulu

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

0789360404

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stay Health And Enjoy Life posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram