Afya kwanza

Afya kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya kwanza, Health spa, Vwawa, Mlowo.

10/10/2022

Tumia chakula K**a dawa
Maana utafika wakati utatumia dawa K**a chakula

10/10/2022

*🌹Unajua unapochelewa kutibu Hormones imbalance (Mvurugiko wa hormones) Unasubiri Madhara gani??*

Twende sawa hapa👇
Wanawake wengi wanakubana na tatizo la Mvurugiko wa hormones

Lakini wanachukulia poa na kuona kawaida tuu

Nataka nikwambie kwamba...

Unapoona dalili za Mvurugiko wa hormones ambazo Ni pamoja na..

▪️ Kushindwa Kushika Mimba
▪️Kutokuona siku zako(Hedhi)
▪️Kupata Maumivu wakati wa Hedhi
▪️Kupata Hedhi Mara mbili kwa mwezi
▪️Kutokuona Hedhi kabisa ( Hapa wengine walishasahau hata K**a Ni wanawake) Na bado anaona Ni sawa tuu
▪️Kupata Hedhi nyiingi kuliko kawaida
▪️Kupata Hedhi yenye Mabongemabonge

‼️mmmh

Hapa unajiandalia bomu ambalo likikulipukia Utalizima kwa Gharama kubwa ambayo huidhanii

🌹Haya Ni baadhi ya Mabomu unayojiandalia taratibu Lakini kwa uhakika

1️⃣Uvimbe kwenye Mfuko wa kizazi (Fibroids)
2️⃣Mimba kutoka Mara baada ya kutungwa
3️⃣Kushindwa Kushika Mimba kabisa
4️⃣Maumivu ya Tumbo yasiyo ya kawaida
5️⃣Kansa ya shingo ya kizazi

Afya yako iko Mikononi mwako

Tutafute kwa ushauri na tiba
Mr BM
0752927862

Address

Vwawa
Mlowo

Telephone

+255752927862

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya kwanza:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category