Kilimanjaro Afya.

Kilimanjaro Afya. Tunawasaidia wanawake wenye changamoto za uzazi,Kuondokana nazo kupitia Mimea asilia,vyakula na Matunda! What-SApp +255654669728.

                                                #            #   #
21/08/2024

# # #

11/07/2024

# #

09/07/2024

# 's

05/07/2024

's

03/07/2024

UNAACHWA NA KILA MWANAUME?? BASI HII NDIYO SABABU!
Leo nimeona niongelee hili swala la wanawake wengi kutodumu kwenye mahusiano au kuachwa mara kwa mara!
Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kuchangia lkn kuna wakati mwanaume anaamua tu, kutoka na mwanamke mwingine na baadae kukuacha kabisa, wanawake wengi huona k**a hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanaume lkn ukweli ni kwamba kuna sababu moja kubwa sana ambayo ukiwa nayo basi hakuna mwanaume atakaedumu na wewe yaani ukimpa mara mbili tu, anakuacha!
Sababu hiyo ni magonjwa katika mfumo wa uzazi ambayo yanaweza kupelekea kutokwa na mtindi ukeni,Harufu mbaya,maji maji,fungus,muwasho, au harufu mfano wa samaki, wanawake wengi wakiwa na hali hii huwa ni ngumu sana kujitambua maana siku zote tatizo la harufu ukiwa nalo mwilini sio rahisi kujijua lkn mtu mwingine akikusogelea tu anasikia harufu!
Hali hii huwa haiwezi kuvumilika na mwanaume yoyote na mbaya zaidi wanaume ni waoga sana kumwambia mwanamke ukweli kwamba anatoa harufu au uchafu hivyo huamua kutoka nje ya ndoa tu na baadae ndoa inaweza kuvunjika kabisa!
Sasa k**a una tatizo hili au bado hujui ila unahisi unalo basi usipanic nimekuandalia somo jingine kwaajili ya kujitibu wewe mwenyewe ukiwa nyumbani bila kwenye hospitali au kutumia gharama yoyote,
Katika somo hili nimeeleza hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza dawa hizo na k**a utataka nikutumie video hiyo basi nitumie ujumbe wenye neno VIDEO kwenye whatsapp yangu 0654669728 na nitakutumia bila malipo yoyote
http://bitly.ws/odYL

24/06/2024

's

23/06/2024

#

DAWA YA KUTIBU PID SUGU (Pervic Inflammatory Diseases):PID (Pervic Inflammatory disease) ni ugonjwa sumbufu na mbaya san...
08/01/2023

DAWA YA KUTIBU PID SUGU (Pervic Inflammatory Diseases):

PID (Pervic Inflammatory disease) ni ugonjwa sumbufu na mbaya sana katika viungo vya uzazi wa mwanamke ambao Mara nyongi husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiana (STI) na nyinginezo.Neno hili STI (sexual Transmitted intercouse) hutumika kuelezea maambukizi katika njia ya uzazi ya chini ambayo huenea juu hadi mfumo wa uzazi wa juu wak**e. Mfumo wa uzazi wa chini wak**e unajumuisha Uke, mlango wa uzazi(cervix), na mfumo wa juu wak**e uzazi wa k**e unajumuisha mji wa uzazi (uterus),mirija ya uzazi, Uterine na mayai (Ovari). Takwimu zinaonyesha PID huathiri wanawake zaidi ya milioni 1 kila mwaka katika nchi ya Marekani US.

Ugonjwa wa Maambukizi PID ni nni?
PID ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya k**e. Magonjwa ya maambukizi ya PID yanaweza kusababisha uharibifu wa wa kizazi, mirija ya uzazi,mayai na sehemu nyingine za njia za uzazi wa k**e ambayo ni sababu kuu ya kupata ugumba kwa wanawake.Inatokeawakati bacteria wa magonjwa ya kujamiana huingia ndani ya uke, kisha huenea ndani ya kizazi,mirija ya uzazi(fallopian tube) au ovari.

DALILI ZA PID
Dalili za PID zinaweza kuwa:
√ maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo.
√ maumivu wakati wa kukojoa.
√ maumivu wakati wa tendo la ndoa.
√ maumivu ya kiuno.
√ homa na uchovu.
√ kuharisha na kutapika.
√ Kutokwa na uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine unaharufu isiyo ya kawaida.
√ maumivu ya chini au upande wa kulia.

15/02/2022

NJIA RAHISI YA KUZIBUA MIRIJA BILA KUTUMIA GHARAMA KUBWA!

02/02/2022

UTAJISIKIAJE UKIPATA UJAUZITO NDANI YA MIEZI MITATU TU BAADA YA NDOA YAKO??
Hii ndiyo siri ya kupata ujauzito kwa haraka zaidi,k**a umekuwa ukihangaika kupata ujauzito bila mafanikio hii inakuhusu!
Sikiliza video hii kisha fuata maelekezo niliyosema utakuja kunishukuru..

Address

1785 Moshi Kilimanjaro
Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimanjaro Afya. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram