14/09/2022
Ni mafuta yaliotengenezwa na mimea asilia 7 isio na kemikali na nichakula kwa ngozi
Mimea hiyo inayafanya mafuta ya DERMA EVER kuwa mafuta Bora ya mwili na USO kwa kukupa faida zifuatazo
-inasaidia ngozi ilioungua na cream zenye kemikali
-inaongeza unyevu kwenye ngozi kwa asilimia 53
-inarudisha uwezo wa ngozi kutanuka na kusinyaa
- inaleta mng'ao kwenye ngozi na kuifanya ngozi kuwa na rangi Moja
-inasaidia ngozi kujilinda na kujitibuna Magonjwa ya ngozi
-huondoa seli zilizokufa kwenye ngozi na kuchochea uzalishaji mpya kwenye ngozi
Kwa mawasiliano call/sms/whatsap 0766260464
-