Herbal Clinic TZ

Herbal Clinic TZ A.P Herbal Clinic Inahusika katika kusaidia watu wenye Changamoto mbalimbali za kiafya
Mawasiliano Zaidi 0620354744

02/03/2026

Mishipa ya Korodani kujisokota

13/01/2026
25/09/2025

# # # # # #

*ELEWA VIZURI TATIZO LA KUSHINDWA KURUDIA ROUND YA PILI KWA WAKATI NA KUPOTEZA HISIA*Baada ya kumwaga bao la kwanza lazi...
19/08/2025

*ELEWA VIZURI TATIZO LA KUSHINDWA KURUDIA ROUND YA PILI KWA WAKATI NA KUPOTEZA HISIA*

Baada ya kumwaga bao la kwanza lazima mwili wako upitie process ambayo kitaalam inaitwa REFRACTORY ( yaani mifumo yako ya mwili inarecover inajitengeneza upya ili hisia zako zirudie tena k**a awali uendelee na tendo round inayofuata)

Sasa interval ya muda ambao unasubiri mwili wako urejee kwenye hali ya kawaida unaitwa REFRACTORY PERIOD

Muda wa kusubiri round ya pili utakuwa mfupi zaidi K**a mwili wako utakuwa na mbolea au kwa lugha nyepesi k**a mwili wako utakuwa na virutubisho yaani uwiano mzuri kati ya Vitamin, amino acid na Madini joto.

Mwili wako k**a hauna Virutubisho vya kutosha tafsiri yake lazima utasubiri kwa muda mrefu sana kurudia round ya pili na hata ukijiforce kurudia lazima uume utakuwa lege lege hadi kero. Elimu hii wengi hawaijui lakini kwa bahati upo hapa umeipata kikamilifu.

*SULUHISHO 👇*

*Robo dozi Tsh.110,000/=(Laki moja na elfu kumi)*

*Nusu dozi Tsh.155,000/=(Laki mbili na elfu kumi)*

*Dozi kamili Tsh.310,000/=(Laki Tatu na elfu kumi)*

*KARIBU NDUGU UNAWEZA KUCHAGUA UNAANZIA WAPI KWA SASA. NIJULISHE HAPO INBOX*

*Nusu dozi Tsh.155,000/=(Laki Moja na elfu Hamsini Na Tano)*

*Dozi kamili Tsh.310,000/=(Laki Tatu na elfu kumi)*

*KARIBU NDUGU UNAWEZA KUCHAGUA UNAANZIA WAPI KWA SASA. NIJULISHE HAPO INBOX*

15/08/2025

1. *Maumivu kwenye korodani*

Hili ni tatizo linalotokea pale mtu anapohisi maumivu ya ndani ya korodani au sehemu ya chini ya tumbo.
*Sababu zake zinaweza kuwa:*

👉Maambukizi ya bakteria (mfano: epididymitis)

👉Kuumia kwa korodani

👉Korodani kujizungusha (torsion), hali ya dharura ya kitabibu

*Dalili za kuambatana* :

👉Korodani kuwa na maumivu makali

👉Kuvimba au kuwa na joto

👉Maumivu yanayoenea mpaka tumboni

2. *Korodani moja kupanda juu*

Hii ni hali ambapo korodani moja inaonekana ipo juu zaidi au haipo kabisa kwenye mfuko wa korodani.

*Sababu zake zinaweza kuwa:*

👉Korodani kutoshuka vizuri tangu utotoni (undescended testicle)

👉Korodani kujizungusha na kuingia ndani (torsion)

👉Mvutano wa misuli ya korodani

*Dalili za kuambatana:*

👉Korodani kutoweka kwenye mfuko wake

👉Maumivu au mvutano wakati wa harakati

*3. Korodani kuvimba*

Hii ni hali ambapo korodani moja au zote mbili zinaonekana kubwa au kujaa.

*Sababu zake* :

👉Maambukizi ya ndani

👉Majimaji kujaa (hydrocele)

👉Kuvimba kwa mishipa ya damu (varicocele)

👉Vidonda au makovu ya ndani

*Dalili za kuambatana* :

👉Uvimbe usio wa kawaida

👉Maumivu au uzito wa korodani

👉Korodani kuwa na joto au wekundu

4. Mfuko wa korodani kujaa maji (Hydrocele)

Ni hali ambapo majimaji hujaa ndani ya mfuko wa korodani na kufanya ionekane k**a imevimba.

Sababu zake:

Maambukizi

Kuumia

Tatizo la kuzaliwa nalo

Dalili za kuambatana:

Uvimbe laini usio na maumivu

Korodani kuwa na uzito

Kwa Ushauri na Matibabu wasiliana Kwa 0620354744

•Je, umekuwa ukijisikia aibu au kushindwa kufurahia maisha ya ndoa kwa sababu ya kuwahi kufika kileleni, •uume legelege ...
15/07/2025

•Je, umekuwa ukijisikia aibu au kushindwa kufurahia maisha ya ndoa kwa sababu ya kuwahi kufika kileleni,

•uume legelege au kukosa hamu ya tendo la ndoa?

•Usihangaike kimya kimya! Matatizo haya yanatibika, na suluhisho ni rahisi zaidi kuliko unavyofikiri.

✓Wasiliana na Dr. AGU kwa ushauri wa kitaalamu na msaada wa kuimarisha afya yako ya uzazi.

•Usikose amani tena – rudi kuwa mwanaume wa kweli katika mahusiano yako!"
📞 0620354744

Address

Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Herbal Clinic TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram